Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Mamaeh padre naye anawaonesha waumini wake yey sio mnyonge🤣🤣🤣Kuna mkesha mmoja pardi alizichapa na waumini kwenye kilabu cha pombe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamaeh padre naye anawaonesha waumini wake yey sio mnyonge🤣🤣🤣Kuna mkesha mmoja pardi alizichapa na waumini kwenye kilabu cha pombe.
Zamani kulikuwa pamechangamka sana, kila mtu hataki kuwa mnyonge. Hilo tukio huwa linanichekesha sana nikikumbuka. Ile parokia ilikuwa na mapadri wawili, so wakati mmoja anaongoza ibada ya mkesha mwingine akaona ngoja akagonge gambe. Na kilabu kilikuwa jirani kabisa na kanisa...Mamaeh padre naye anawaonesha waumini wake yey sio mnyonge🤣🤣🤣
Hii iliwahi kunikuta japo ni majuzi hapa 2013. Tupo kwenye disko la graduation, nimekunja kidogo suruali kwa chini, mhuni mmoja wa mtaani akaja anataka kunipiga kisa nimekunja tu suruali. Ilibini wanangu waje waniokoe kwenye ile dhahama. Kuna siku napita ubungo pale, nasikia mtu ananiita, kugeuka ni huyo jamaa. Kachoka vibaya mno, ananiomba hela ya fegi...Unaongelea mavarangati ya juzijuzi tu, we kumbe bado dogo uliza wakongwe wakuambie vagi za enzi zao kwenye madisko na mikesha nyie mkasome. Unaambiwa hapohapo kwenye madisko ya shuleni wahuni wa mitaani walikuwa wanakuja na kucheza na mademu zenu wa hapohapo shuleni mnanyang'anywa. Mkono ulikuwa unapigwa haswa kati ya ya raia na wanafunzi au wanafunzi kwa wanafunzi kugombea mademu wa kucheza nao disko la welcome form one/form five na lile disco la kuhitimu form four/six
Ubabe ndo ulikuwa habari ya mjini. Mwaka mpya bila baruti ilikuwa haijawahi kutokea lakini Kwa Sasa hamna madogo wote wamekuwa wapaka mafuta ya mwamposa nashangaa sanaSiku izi hata kwenye sikukuuu za mwaka mpya baruti/ fataki madogo hawafanyi..
Kuchoma vibanda vya nyasi/ kuchoma matairi barabarani hazifanyiki...hope ELIMU imeongezekaa😅😅😅
Tulikua na crew yetu jioni mnatembea mmoja wetu ana piga kikumbo mtu then jamaa akimind mnampiga KARATE balaaa
Enzi izo mna chokoza watu ili muwapigee....nakumbuka Kuna siku mbabe mmoja alienda na crue akasema chukueni barafu/ ice cream...watu Kama 20 then akasema kila mtu ajilipie...muuza barafu/ ice cream akachezea kichapo zamani kulikua na ubabe sanaa
Sisi tulikuwa na zamu kabisa ya kuzipiga. Mnapangiwa Leo mnazipiga familia ya fln na fln na zinapigwa kweliUmenikumbusha mbali sana , hata siku za x-mass mkono ulikuwa unaopigwa hadi sio poa , sisi home tulikuwa men 12 aisee tulikuwa tunapiga mkono mtu akizingua kata nzima walikuwa wanaelewa , unakuta tena zilikuwa fujo zinaanzia kwenye mpira au madamu kuna siku ndugu yetu anaenda skuli asubuhi jamaa anakuta wanamsubili ikabidi arudi home , tukaamsha wote aisee zilitembea pale jamaa walikalishwa ikabidi wakimbie .
Nikweli kabisa mpira ulikuwa hauishi bila ngumu nakumbuka hapo ngoma tulipigwa vibaya mno baiskeli tulizitelekeza kutoka uhai wetu. Siku hizo police hakuokoi labda ukimbilie kituoni ukaingie ndani mwenyewe.Wakat huo hadi nilijihis kama tupo china maana kila mmoja lazima ujue kupigana,nilkuwaga mwoga sana lakin kuna huyo mjomba wangu alikuwa anapenda sana kunitest kila nikikutana na wa rika langu mpaka uoga uliniisha
Nakumbuka wakat fulani tukiwa wadogo tukawa tumeenda ukerewe likizo ya mwez wa 12,siku ya sikukuu nilishangaa kuona sentani wababa wazima wamevua mashati wanapigana mpaka wanatoka midamu tena wengi wengi,hakika niliogopa sana nilikuwa sijawah ona kitu kama hicho
Kuna kabila moja la wazinza hawa ndo walikuwa wananichekesha,kwanza hawa jamaa ni wachache afu wakiwa sehemu moja karibia wote wanakuwa kama ndugu maana huwa wanaoana sana,ikitokea kuna mchezo wa mpira wa miguu enzi hzo mpira auishi tena kipindi hicho walikuwa wanacheza watu wazima tena wana familia,basi ghafla utaona wanashikana wachezaji kwa wachezaji mashabiki nao wanaingia mara unaona jamaa anamrukia shemeji yake au wakwe kwa wakwe wanakwidana yaan ni full valangati au mtu na mjomba wake wanazikunja
Haya mambo yameisha baada ya watu kupata mwanga na kuwa na tamaa ya pesa ya kutaka kulipwa unapompiga,ataanzisha kesi na utamlipa kwa kuuza mali zako
Kabisa Kila mtu mbabeSiku hizi ugomvi na kuchokozana n.k. vimeamia mtandaoni.
Hapo Sasa wameharibu sana watu wamekuwa lege lege sana. Siku hizi mgambo anakuswaga huku anakula embe ama Hindi yaani Kirahisi mno.Watu wamestaarabika baada ya sheria kukaza,we assume mtu unampiga makofi matatu unamlipa laki 5,utarudia kupigana tena?
Mkuu mi sijapoa kiasi hichoHapo Sasa wameharibu sana watu wamekuwa lege lege sana. Siku hizi mgambo anakuswaga huku anakula embe ama Hindi yaani Kirahisi mno.
Saana mkuu mkuu zamani kirabuni hapawezi kuwa salama Hadi jioni bila ngumiZaman lilikuwa la manyani yaani mnafanya fujo na hamfanywi chochote,kwanza hata watu walikuwa wanapaogopa polisi,saiv jichanganye kama hutalala selo,utapigwa mpaka uchakae
Hata humu mfano wa Lucas mwashambwa wangekuwa wanapigwa Kila siku iendayo Kwa Mungu maana wanakera sanaHii mtandao naamini hao lazima kuna wanao umia mioyo na kuharibu maisha yao kwa hayo kisaikolojia
Huku tu kuna watu wanahatafjga wakiyapata kama hawana mioyo inakuwa balaaa wakilalamika
Sio nzuri ila ndio maisha hayo
Alaaah kumbe ulikuwepo😂😂Mlipigwa sana naikumbuka hio siku🤣