Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani

Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani

Uzi huu inaelekea umekaa kikufukuzwa kufukuzwa ama kivyeti feki kivyeti feki, huwezi kuwaza watu wanaovaa uniform eti ni kuringa hee? does it make any sense, jamani sasa kama waajiriwa wa zamani walikua wako ki local local na sikuhizi watu wameendelea hamtaki wenzenu wavae uniforms? Jamani hata huku tunakobeba boksi tunavaa uniforms tene tunapendeza na kikubwa zinatupunguzia gharama kwasababu zinatolewa na mwajiri sasa kama unaona ni maringo hapo kuna waya haujakaa sawa ndugu
 
ukifatilia thread zake za hivi karibuni utagundua huyu jamaa anahitaji msaada wa kitabibu.
Wewe utakuwa dereva wa magari yale ya Chadema yaliyoandikwa M4 C nao huvaa zile T-shirt za Kazi zimeandikwa M4C kuturingishia kuwa wao Ni wafanyakazi wa Chadema sio jobless
 
Uzi huu inaelekea umekaa kikufukuzwa kufukuzwa ama kivyeti feki kivyeti feki, huwezi kuwaza watu wanaovaa uniform eti ni kuringa hee? does it make any sense, jamani sasa kama waajiriwa wa zamani walikua wako ki local local na sikuhizi watu wameendelea hamtaki wenzenu wavae uniforms? Jamani hata huku tunakobeba boksi tunavaa uniforms tene tunapendeza na kikubwa zinatupunguzia gharama kwasababu zinatolewa na mwajiri sasa kama unaona ni maringo hapo kuna waya haujakaa sawa ndugu
Ajira kuwa chache ndiko kumeleta yote haya huko kwenu pia ajira chache ndio maana ukivaa uniform unaona dunia yote yako
 
Maisha yamebadilika zamani mtu alikuwa anaona aibu kuondoka nyumbani akiwa kavaa uniform ya kazini na kurudi nayo kavaa .Walikuwa wakienda kubadlishia kazini na akitoka anaingia chooni anabadilisha ndio anarudi nyumbani

Sasa hivi mtu anaondoka nyumbani anapanda daladala na uniform na kurudi akiwa na uniform yenye nembo ya kazini kwake kuringisha kote apitako Kuwa Yeye ana ajira!!!

Waajiri wa sasa hawana kazi kubwa kuhamasisha wafanyakazi kuvaa uniform tofauti na zamani!!!

Kweli kila enzi na Zama zake loo

Mnaofanya kazi wenye uniform karibuni mtaani kwetu mtukoge
Kwa hiyo unatakaje? Kwani saizi ni zamani? Acha ufala wewe taga.
 
Mapolisi wasivae sare,Trafic,na masoja,ni wafanya kazi wachache sana wanao vaa sare...wengi wanapiga mavazi ya kawaida...je huko mtaani kuna mwalimu anavaa sare ya kazi?
Acha kutupanga....hakuna anawaringishia wasio na kazi kazi yake.
 
Naunga mkonyo hoja
Mf: DAWASA wafanya kazi wake wanatulingishia Sana Uniform huku mtaani
Hao balaa hawavui uniform muda wote wako na shati zao zile za blue hata iwe usiku wa manane kazini katoka saa 10 havui atazurura nayo Hadi usiku wa manane havui niliona mwezi wa Ramadhani kwenye futari daku
 
Mapolisi wasivae sare,Trafic,na masoja,ni wafanya kazi wachache sana wanao vaa sare...wengi wanapiga mavazi ya kawaida...je huko mtaani kuna mwalimu anavaa sare ya kazi?
Acha kutupanga....hakuna anawaringishia wasio na kazi kazi yake.
Yuko Mwalimu mmoja huwa anatembea na box la chaki havai uniform lakini husingizia chaki zake akiacha ofisini walimu wenzie wanaiba kwa hiyo hurudi na kaondoka na box mkononi tujue ana ajira
 
Hizo uniform zimeandikwa vyeo na mishahara yao hadi ujihisi unyonge, au hayo mavazi yanakutia unyonge kiasi kwamba inabidi ukae kwa nidhamu wanapopita......kwamba hii sirikali imeanza kutisha watu hadi wanakaa kinyonge.
 
Hao balaa hawavui uniform muda wote wako na shati zao zile za blue hata iwe usiku wa manane kazini katoka saa 10 havui atazurura nayo Hadi usiku wa manane havui niliona mwezi wa Ramadhani kwenye futari daku
Mwishowe watatung'orea wake zetu manaake wanawake wakiona umeajiriwa serikalini hawaishi kujilengesha akiamini hatakosa hela ya mkate
 
Wengine wanashangaza.....

Yuko daktari mmoja wa binadamu ambaye alijaa "grandiosity"....

Huyu bwana alikuwa anavalia koti la tiba(clinical) na kupanda nalo daladala halafu anashuka na kutembea nalo nusu kilomita kuingia HOSPITALINI kwake 🤣🤣
Ni kuringisha kuwa mnasema ohh serikali haiajiri Mimi Nina ajira Ni Daktari ingawa wavaa makoti meupe wengine wafanyakazi wa mortuary .
Vitoto vya kike vitamkoma mtaani
 
Maisha yamebadilika zamani mtu alikuwa anaona aibu kuondoka nyumbani akiwa kavaa uniform ya kazini na kurudi nayo kavaa .Walikuwa wakienda kubadlishia kazini na akitoka anaingia chooni anabadilisha ndio anarudi nyumbani

Sasa hivi mtu anaondoka nyumbani anapanda daladala na uniform na kurudi akiwa na uniform yenye nembo ya kazini kwake kuringisha kote apitako Kuwa Yeye ana ajira!!!

Waajiri wa sasa hawana kazi kubwa kuhamasisha wafanyakazi kuvaa uniform tofauti na zamani!!!

Kweli kila enzi na Zama zake loo

Mnaofanya kazi wenye uniform karibuni mtaani kwetu mtukoge
Wakati mwingine sababu yake ni kwamba nguo zote ni chafu na mtu anaona heri ajivalie tu uniform ya kazini.
 
wivu, chuki na makasiriko!
Tukuonee wivu kwa uniform? Wakati hela huna Unatumia Uniform kuficha ulofa wako mtaani kukopa bidhaa lakini kulipa shida unatumia kutapelia uniform?
 
MTOA MADA NI YALE MASALIA YA YULE ALIEPITA SASA ANAJIKOSHA KOSHA HUMU KWA MADA ZISIZO NA MAANA
Wewe utakuwa na uniform ya kujishebedua mtaani wakuone una ajira sio bure
 
Back
Top Bottom