Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijajua tatizo ni nini haswa hadi ukaanzisha uzi wa hivi, ila labda nikipita polepole nitakuelewa.Maisha yamebadilika zamani mtu alikuwa anaona aibu kuondoka nyumbani akiwa kavaa uniform ya kazini na kurudi nayo kavaa .Walikuwa wakienda kubadlishia kazini na akitoka anaingia chooni anabadilisha ndio anarudi nyumbani. Sasa hivi mtu anaondoka nyumbani anapanda daladala na uniform na kurudi akiwa na uniform yenye nembo ya kazini kwake kuringisha kote apitako Kuwa Yeye ana ajira!!! Waajiri wa sasa hawana kazi kubwa kuhamasisha wafanyakazi kuvaa uniform tofauti na zamani!!! Kweli kila enzi na Zama zake loo. Mnaofanya kazi wenye uniform karibuni mtaani kwetu mtukoge
Yeho tuseme unawaonea wivu,au?Maisha yamebadilika zamani mtu alikuwa anaona aibu kuondoka nyumbani akiwa kavaa uniform ya kazini na kurudi nayo kavaa .Walikuwa wakienda kubadlishia kazini na akitoka anaingia chooni anabadilisha ndio anarudi nyumbani
Sasa hivi mtu anaondoka nyumbani anapanda daladala na uniform na kurudi akiwa na uniform yenye nembo ya kazini kwake kuringisha kote apitako Kuwa Yeye ana ajira!!!
Waajiri wa sasa hawana kazi kubwa kuhamasisha wafanyakazi kuvaa uniform tofauti na zamani!!!
Kweli kila enzi na Zama zake loo
Mnaofanya kazi wenye uniform karibuni mtaani kwetu mtukoge
Wengine wanashangaza.....
Yuko daktari mmoja wa binadamu ambaye alijaa "grandiosity"....
Huyu bwana alikuwa anavalia koti la tiba(clinical) na kupanda nalo daladala halafu anashuka na kutembea nalo nusu kilomita kuingia HOSPITALINI kwake [emoji1787][emoji1787]
kwahiyo askari akipita na uniform yake ana kuringishia ww, poor mindset,Maisha yamebadilika zamani mtu alikuwa anaona aibu kuondoka nyumbani akiwa kavaa uniform ya kazini na kurudi nayo kavaa .Walikuwa wakienda kubadlishia kazini na akitoka anaingia chooni anabadilisha ndio anarudi nyumbani
Sasa hivi mtu anaondoka nyumbani anapanda daladala na uniform na kurudi akiwa na uniform yenye nembo ya kazini kwake kuringisha kote apitako Kuwa Yeye ana ajira!!!
Waajiri wa sasa hawana kazi kubwa kuhamasisha wafanyakazi kuvaa uniform tofauti na zamani!!!
Kweli kila enzi na Zama zake loo
Mnaofanya kazi wenye uniform karibuni mtaani kwetu mtukoge
Hata mi siku hizi natembea na boya la kuogelea(life jarket) kuwalingishia watu mtaani kuwa nimeajiriwa kwa njiwa poli. Au nasema uongo ndugu zangu
[emoji23][emoji23][emoji23]Ata majamaa wa Bucha nao wanavimba siku hizi
Sikuwahi kuwa na huu ushamba Richa ya kuwahi kufanya kazi kwenye kampuni kubwa za cm hapa nchini.Maisha yamebadilika zamani mtu alikuwa anaona aibu kuondoka nyumbani akiwa kavaa uniform ya kazini na kurudi nayo kavaa .Walikuwa wakienda kubadlishia kazini na akitoka anaingia chooni anabadilisha ndio anarudi nyumbani
Sasa hivi mtu anaondoka nyumbani anapanda daladala na uniform na kurudi akiwa na uniform yenye nembo ya kazini kwake kuringisha kote apitako Kuwa Yeye ana ajira!!!
Waajiri wa sasa hawana kazi kubwa kuhamasisha wafanyakazi kuvaa uniform tofauti na zamani!!!
Kweli kila enzi na Zama zake loo
Mnaofanya kazi wenye uniform karibuni mtaani kwetu mtukoge
wewe ni Don Nalimison uliyechangamka.Dakari ninaye mtaaani akirudi shifti hata akienda gengeni kununua fungu the nyanya au vitunguu huwa anaenda na kodi Lake Jeune na zile headphone madaktari wanazovaa kupima mapigo ya moyo ukienda hospital madokta wengi huwa na zile headphones
Yuko Mwalimu mmoja huwa anatembea na box la chaki havai uniform lakini husingizia chaki zake akiacha ofisini walimu wenzie wanaiba kwa hiyo hurudi na kaondoka na box mkononi tujue ana ajira
Kama chaki ni uniform za kazi basi wazazi wako wanamiliki kijana wa hovyo😂😂Yuko Mwalimu mmoja huwa anatembea na box la chaki havai uniform lakini husingizia chaki zake akiacha ofisini walimu wenzie wanaiba kwa hiyo hurudi na kaondoka na box mkononi tujue ana ajira
Ninakaa naye Nyumba mojaKama chaki ni uniform za kazi basi wazazi wako wanamiliki kijana wa hovyo😂😂
Naongelea wavaa uniform wapanda daladala jamani mbona mtaaani tunakomaKwa Geita miaka na miaka mabasi yanachukua na kushusha wafanyakaz toka GGM na sare zao ...mtoa mada tatizo ninj ndugu yetu
Shangaa wewe 🤣🤣Kwa hiyo anabeba bacteria wote anawapeleka theatre
Ha ha ha ha sisi "laymen" tunadhani Kila mvaa koti jeupe hospitali ni dokta 🤣Ni kuringisha kuwa mnasema ohh serikali haiajiri Mimi Nina ajira Ni Daktari ingawa wavaa makoti meupe wengine wafanyakazi wa mortuary .
Vitoto vya kike vitamkoma mtaani
dah nimecheka sanaPoor mindset,inferiority complex and poor level of thinking which may result from both malnutrition and pschological issues!
Shangaa wewe [emoji1787][emoji1787]
Japo nguo za "theatre" zinakuwepo mulemule ndani....hawaingii nazo ,hawavalii nje ,hawatoki nazo....
Mule Kuna taratibu na kanuni mahsusi.....[emoji1787]