Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani

Kwa Geita miaka na miaka mabasi yanachukua na kushusha wafanyakaz toka GGM na sare zao ...mtoa mada tatizo ninj ndugu yetu
 
Sijajua tatizo ni nini haswa hadi ukaanzisha uzi wa hivi, ila labda nikipita polepole nitakuelewa.
 
Yeho tuseme unawaonea wivu,au?
 
Kwa hiyo anabeba bacteria wote anawapeleka theatre
 
kwahiyo askari akipita na uniform yake ana kuringishia ww, poor mindset,
 
Sikuwahi kuwa na huu ushamba Richa ya kuwahi kufanya kazi kwenye kampuni kubwa za cm hapa nchini.
 
Wee jamaa ulitaka wafanye Nini sasa?.Hivi mfano mini ni Polisi na nimevaa nguo za kazi kwasababu nimetoka kazini unataka nisipitie dukani kwa Mangi au Hotelini kisa nimevaa Sare za kazi??. Aisee unataka watu waishi kwa shida sana kisa hisia zako.
 
Dakari ninaye mtaaani akirudi shifti hata akienda gengeni kununua fungu the nyanya au vitunguu huwa anaenda na kodi Lake Jeune na zile headphone madaktari wanazovaa kupima mapigo ya moyo ukienda hospital madokta wengi huwa na zile headphones
wewe ni Don Nalimison uliyechangamka.
 
Daktari ninaye mtaaani akienda gengeni au buchani au kwa mama nitilie huenda na koti jeupe na zile headphones wanazovaa Madaktari shingoni hospitalini ili kila mtu mtaani ajue yeye doctor na ana ajira kuwatambia mtaani na waliosoma udaktari wasio na ajira
 
Yuko Mwalimu mmoja huwa anatembea na box la chaki havai uniform lakini husingizia chaki zake akiacha ofisini walimu wenzie wanaiba kwa hiyo hurudi na kaondoka na box mkononi tujue ana ajira

Yuko Mwalimu mmoja huwa anatembea na box la chaki havai uniform lakini husingizia chaki zake akiacha ofisini walimu wenzie wanaiba kwa hiyo hurudi na kaondoka na box mkononi tujue ana ajira
Kama chaki ni uniform za kazi basi wazazi wako wanamiliki kijana wa hovyo😂😂
 
Kama chaki ni uniform za kazi basi wazazi wako wanamiliki kijana wa hovyo😂😂
Ninakaa naye Nyumba moja
Kwa Geita miaka na miaka mabasi yanachukua na kushusha wafanyakaz toka GGM na sare zao ...mtoa mada tatizo ninj ndugu yetu
Naongelea wavaa uniform wapanda daladala jamani mbona mtaaani tunakoma
 
Ni kuringisha kuwa mnasema ohh serikali haiajiri Mimi Nina ajira Ni Daktari ingawa wavaa makoti meupe wengine wafanyakazi wa mortuary .
Vitoto vya kike vitamkoma mtaani
Ha ha ha ha sisi "laymen" tunadhani Kila mvaa koti jeupe hospitali ni dokta 🤣
 
Kama chaki ni uniform za kazi basi wazazi wako wanamiliki kijana wa hovyo😂😂
Hilo box la chaki anavyolishika kwa mbwembwe na kukata mitaa kwenda shule na kurudi kila mtu anajua huyo ni mwalimu
 
Shangaa wewe [emoji1787][emoji1787]

Japo nguo za "theatre" zinakuwepo mulemule ndani....hawaingii nazo ,hawavalii nje ,hawatoki nazo....

Mule Kuna taratibu na kanuni mahsusi.....[emoji1787]

Yaani tupotupo tu duniani [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…