Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani

Ila sio ya rangi ya Ugoro kama suti ya NSSF
 
Jirani yangu anafanyia Lugalo anatoka na gwanda zake anaenda kuvalia kazini!

Yaani mimi ningekuwa yeye ningevalia hukuhuku mtaani ili nisilipe nauli😂
 
Tulipokuwa Jeshi la Kujenga Taifa kipindi hicho Operesheni Nyerere vijana tuliokuwa mafunzoni na tunafanyakazi kwenye mashirika ya umma tulipaswa kuvaa kombati zetu maofisini wakati wote..
 
Mmmh Yehodaya unapenda "mbango" Kiingereza ni lugha tu🤣....huku uswazi nako kuna "graduates" wengi mno tena wasio na ajira+ wageni kutoka Kenya, Uganda & Zambia.
Hivi Ni graduates au graduands ipi Ni sahihi ? Wadau
 
Hata mi siku hizi natembea na boya la kuogelea(life jarket) kuwalingishia watu mtaani kuwa nimeajiriwa kwa njiwa poli. Au nasema uongo ndugu zangu
Mkuuu Hamia kwa Kitana njiwa pori miyeyusho. Karibu mitaa yetu hapa Kayenze na huko Igombe wape Hi washkaji akina White!
 
Poor mindset,inferiority complex and poor level of thinking which may result from both malnutrition and pschological issues!
Ndo nyie wavaa unifomu kwa wingi mnajifanya mnajua Kizungu. Kila post.... Poor mindset "come on"
 
Poor mindset,inferiority complex and poor level of thinking which may result from both malnutrition and pschological issues!
ingawa sijaelewa lakini imenibidi nicheke tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…