Kanda nyingine zina watu wangapi??Kulikuwa na kauli nyingi sana za kisiasa kwamba kanda ya ziwa ndio inaamua Rais wa nchi kwenye uchaguzi kwasababu wako wengi sana.
Takwimu za sasa kwa namba:
Mwanza 3,699,872
Kagera 2,989,299
Geita 2,977,608
Mara 2,356,255
Shinyanga 2,123,654
Simiyu 2,078,428
Jumla ni around milioni 15 ambayo ni kama robo tu ya watanzania wote.
Wapi Katavi ?Ongezea na tabora na kagera na rukwa na katavi hao wote huwa tunawameza nadhani mpaka singida hao Ni watano zetu hawaendi mbali na sio tulipoamua.kumbuka huko Moro mbeya pwani tanga iringa lake zone wamezama pote nchini wakifanya kazi ambazo Wana ujuzi nazo Mana wengi hawakusoma miaka iyo.
Labda saivi ndipo wanaenda shule kwa idadi kubwa. Ila kilimo na ufugaji biashara hizo wamo hawanagui kazi hawachagui hawaogopi pori lolote kuishimo.
Umeona wachina walivyozaliana na wameanza kusambaa dunia nzima
Huo ndio ukweliKwa maana hiyo mikoa isingegawanywa mwanza ingekuwa imeipiku Dar es salaam kwa wingi wa watu
Ongeza na katavi,Tabora,Kanda ya ziwa,means,sukuma and nyamweziKulikuwa na kauli nyingi sana za kisiasa kwamba kanda ya ziwa ndio inaamua Rais wa nchi kwenye uchaguzi kwasababu wako wengi sana.
Takwimu za sasa kwa namba:
Mwanza 3,699,872
Kagera 2,989,299
Geita 2,977,608
Mara 2,356,255
Shinyanga 2,123,654
Simiyu 2,078,428
Jumla ni around milioni 15 ambayo ni kama robo tu ya watanzania wote.
Khaaaa.....Kwataarifa yako mtemi wa kwanza wa bujash,busumagui,nyashimo mpaka dutwa(simiyu na Mwanza) alikuwa muha kutoka kigoma na mpaka leo kizazi chake ndo kinatawala.
Nimepiga hesabu jumla ni 16.23 sawa na asilimia 26.3, nitaftie kanda nyingine yenye asilimia hii afu tuanzie hapo!Kulikuwa na kauli nyingi sana za kisiasa kwamba kanda ya ziwa ndio inaamua Rais wa nchi kwenye uchaguzi kwasababu wako wengi sana.
Takwimu za sasa kwa namba:
Mwanza 3,699,872
Kagera 2,989,299
Geita 2,977,608
Mara 2,356,255
Shinyanga 2,123,654
Simiyu 2,078,428
Jumla ni around milioni 15 ambayo ni kama robo tu ya watanzania wote.
15m lakini majimbo ya uchaguzi hayafiki 40. Zanzibar wakaazi chini ya 2m wana majimbo ya uchaguzi 50.
Tunahitaji katiba itakayotibu haya maradhi.
Unataka kusema kwamba Mkoa wa tabora hakuna sehemu ambayo Umepakana na mkoa wa kigoma?.Alafu mwanza je kuna mahali umepakana na tabora?.MMMMM!!Mkuu unajua jiografia ya nchi hii lakini?!!Yaani Tabora iko jirani sana na Kigoma kuliko Mwanza?!!eti km 500!!Mwanza na tabora ni karibu zaidi kuliko Tabora kwenda Kigoma.
Hajui lolote huyoOngezea na tabora na kagera na rukwa na katavi hao wote huwa tunawameza nadhani mpaka singida hao Ni watano zetu hawaendi mbali na sio tulipoamua.kumbuka huko Moro mbeya pwani tanga iringa lake zone wamezama pote nchini wakifanya kazi ambazo Wana ujuzi nazo Mana wengi hawakusoma miaka iyo.
Labda saivi ndipo wanaenda shule kwa idadi kubwa. Ila kilimo na ufugaji biashara hizo wamo hawanagui kazi hawachagui hawaogopi pori lolote kuishimo.
Umeona wachina walivyozaliana na wameanza kusambaa dunia nzima
Katavi na rukwa pia.Note: Unapozungumzia Kanda ya ziwa usisahau Tabora na Kigoma kwasababu mikoa yote hii hiko within one regime.
.Sensa iliyofanyika ilihesabu watu waliolala sehemu husika na haikumaanisha wakazi wenye asili ya sehemu fulani.Watanzania wametawanyika sana sasa hivi.Kwa mfano watu tu wanaotokea kanda za kaskazini walioko kanda ya ziwa kwa sababu mbali mbali kwa idadi wakienda zanzibar inajaa nakuzama.Hapo bado watu wa maeneo mengine na wa kanda ya ziwa walioko maeneo mengine.Kwahiyo sidhani kama hii ya sensa inaweza kuchukuliwa kisiasa,labda tuje tupate takwimu za sasa za tume ya uchaguzi ndo angalau itatupa picha ya hali yakisiasa ikoje kikanda.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hii hoja yako ingekua na maana kama kungekua na usawa wa kisiasa na tume ya uchaguzi inayojielewa.Kamwe usifiki kinachowapeleka uko ni kura wakati kura tayari wanazo kwenye laptop.Amka kwenye huo usingizi.Uchaguzi wowote Tanzania unaamuliwa na kanda inaitwa Great Lake Zone ambapo kinara hua ni Mwanza inakuaga hivi Mwanza, simiyu, shinyanga, Mara , Geita, Kagera, Kigoma, Katavi na Tabora hao watu wa mikoa hiyo wanajijua kabisa wao ni kanda ya Ziwa yaani upande mmoja ziwa Tanganyika na upande mwingine ziwa Victoria na ndio maana mwingiliano kwenye hiyo mikoa ni mkubwa yaani watu wote wanafunga mzigo wa Duka mwanza kwa asilimia kubwa na siasa za hiyo mikoa zinafanana sana ndio maana ukihesabu hata ziara za viongozi kwenye hiyo mikoa utaona mwitikio wa wingi wa watu na viongozi huko hua hawakauki, lakini pia kwa CCM inajua kabisa kanda nyingine kura zinatabirika ukitoa Mbeya, Arusha, Kilimanjaro na siasa za mbeya hua ni ngumu sana ukienda kwa pupa unaweza kutangazwa umeshinda na ushirikiano hutopata milele kikubwa usiwaudhi tu, kuna kanda ambayo wao hawafahamu hata siasa ni nini lindi, ntwara wao lolote sawa tu, Ruvuma huko kijani wanajibebea kura kwenye magunia, ukija kuangalia kiuchaguzi great lake zone ina watu wengi ingekua sio hivo kamwe wanasiasa wasingewekeza macho yao huko.
Hapa tayari pua zimekutanuka unahema haraka-haraka jazba zimekupanda mnoo 😂Usijali manka
Hii hoja imekuja kwasababu ya kua na mgombea msukuma ambaye uchaguzi wa karibuni alipata kura 12m.Ila tujiulize chaguzi zingine uko nyuma zilikuaje.Je uwingi wa kabila la mgombea ndio uliotoa mshindi.Vyovyote itakavyokua wasukuma kwa namba wenzetu wako wengi na wao pekee wana mikoa mingi kabila moja Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, Tabora utaona wamecover mikoa mitano peke yao halafu tuje wasukuma ambao wako Chunya., Ifakara, madibila, kigoma, Mpanda, Sumbawanga, Lindi, yaani huko wamefuata ardhi yenye rutba na ya bei rahisi hoja iko hivo