Sasa inakuwa rasmi mafuta bila stakabadhi

Mi naona kila mwenye uwezo afungue kituo cha mafuta ili apate pesa za rahisi kihivyo.
 
Hao wanaocheza na serkali tutawasalimu
"Kwa jina la JMT"
 
Acheni ujinga siyo kila anaeleata mada kumsaidia mama anakuwa msukuma, hapa tunataka mapato siyo issue ya usukuma hapa. acheni kuleta cheap reasoning.
Halafu acheni ukabila nyie watu, kwani kuwa msukuma imekuwa tusi siku hizi?
 
Tatizo kodi hiyo inalipwa na mnunuzi/mtumiaji, kwa maana hiyo inakuwa ngumu kwa wale wanaopeleka viwandani. nakubaliana na wewe kuwa ilipwe na depot ili wote walipe kodi.
Unaonaje kila mwenye uwezo akafungua kiwanda ili apate huo unafuu wa kodi, kama ni rahisi hivyo kama mnavyosema?
 
Kabla ya hapo kodi hii ilikuwa kwenye road lisence kwa hiyo watarudisha road license ya kila mwaka.
Ninachofahamu, serikali hukusanya kodi yote ya mafuta hukohuko depot kabla hayajasambazwa, hizo risiti ni kwa ajili ya kodi za ziada kama Service levy na income tax, ila road license nk. hukusanywa kabla hayajasambazwa
 
kwa baadhi ya majibu ya hapa bado tuko mbali sana!
sieelewi watu wanafurahije kuibiwa? tusije kulaumu serikali inaposhindwa kumudu kujiendesha kwa ajili ya makusanyo madogo ya kodi.
Kodi tunapenda kulipa, ila tunaposikia tetesi kwamba wanataka kutumia kodi zetu kununulia chanjo za Corona, ndio shida inapoanza hapo
 
Watanzia tunapenda sana kulalama. Receipt ni haki yako. Dai lazima wakupe
 
Siku hizi tupo uchumi wa" FREE TAXI"
kiufupi hakuna binadamu anayependa kulipa KODI
 

 
Tumia akili ndogo mkuu,sasa hao uliowataja ni wachache sana kwa idadi kwa hiyo ni rahisi kuwafatilia na kuwaekea mfumo wao kuliko hawa wa vituo vya mafuta ambao wametapakaa nchi zima.
 
Watajua wenyewe ,kama wanalipa kodi kama hawalipi kikubwa we mambo yako yaende

Ova
una ndugu vijijini??
Unaendaga kuwatembelea na kuwajulia hali zao za maisha??

ukiongea haya usijiangalie wewe unaeishi mjini darisalama tu.
 
imebaki kumuabudu tu na kuanzisha dini inayoitwa mashahidi wa JPM
 
Mods Kichwa cha habari kimwkaa kiuchonganishi kusema sasa rasmi maana yake nikuwa imepitishwa na mamlaka
 
Wewe Unakubalije kulipa bila kupewa receipt wewe na nawe ni tatizo
 
Kwani nalipia receipt ukinunua mafuta? nataka kodi yangu iende serikalini kukuletea maendeleo wewe na ukoo wako upate pesa ya kukaa kwenye keyboard .
Ulichukuwa hatua gani, mimi nililala hotel moja morogoro mwezi uliopita hawakutoa receipt ya TRA walisema mashine mbovu niliwambia wanipe uthibitisho kuwa ni mbovu, niligoma kulipa nikaondoka walinipigia wenyewe na kuomba msamaha
 
Hili Ni la TRA ..Kama wameshindwa kazi baas waachie ngazi
 
Kwahiyo asiwe anasemwa?

Ndio maana nchi haiwezi kuendelea kwa kuwa na watu wapumbavu kama nyie!
Mbona wakati Wa mwenda zake hamkusema.Na yalikuepo mwenda wazimu wewe .
Mlikua munaabudu na kusifu upuuzi aliokua anaufanya hapa ,acha umama ulionao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…