Ndio maana tunawaita nyie ni wapumbavu?Mwendakuzimu mlimsema?
Leo kumbe mnajua kuna kumsema mtu enh? Ndorobo crocodile papasi kabisa mataga nyie!
Mama kapangua safu yote ya majambazi yaliyoachwa na marehemu jambazi kuu Pombe.
Acha upumbavu wewe!Mbona wakati Wa mwenda zake hamkusema.Na yalikuepo mwenda wazimu wewe .
Mlikua munaabudu na kusifu upuuzi aliokua anaufanya hapa ,acha umama ulionao
Umasikini unaotafuna ukoo wangu umesababishwa na genge la majambazi la ccm, ambalo huyo mwendajehanam aliwahi kuliongoza tena kwa ufanisi mkubwa, wakaiba matrilion ambayo hayajawahi kuibiwa toka tupate uhuru.Ndio maana tunawaita nyie ni wapumbavu?
Kwa hiyo Kuna kiongozi nchi hii alikuwa hasemwi akikosea?
Huu upumbavu wa kutetea maovu kisa mahaba mnautoaga wapi?
Ukoo wako huko vijijini wanaliwa na umasikini alafu wewe na ukapuku wako unamtetea kisa chuki kwa Magufuli?
Mlimsema sana Hayati JPM kwa utaratibu sahihi wa kukusanya pesa ili nchi ijengwe,mmemrushia maneno mengi na lawama na sasa MUNGU anaanza kuwajibu maombi yenu.Tangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. Mfano ukienda PUMA kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unaambiwa machinembovu. Ni vituo vingi vinafanya hivyo.
TRA MPOOOOO
Amna cha elimu wala nini, kama kodi unalipa alafu kundi dogo la watu ndio linafaidika na hiyo kodi unafikiri ni nani atataka kulipa kodiKwa comments hizi ELIMU YA KODI ni muhimu saana.
Kwani kabla ya mwenda zake kuingia madarakani kulikua hakukusanywi kodi?Acha upumbavu wewe!
Kuna mtu kasemwa nchi hii kama mwenda zake?
Endelea kutetea ujinga kisa chuki kwa Magufuli huku ukoo wako unaendelea kuliwa na umasikini.
Unafikiri selikali isipopata kodi mwathirika ni Magufuli na ukoo wake? Ni wewe na bibi yako, babu na ukoo wako kule kijijini.
Huku nakoishi sina barabara Yani kuna sehemu uwa natamani kubeba gari kichwani ndio nipite.halafu kukiwa na ubovu wa barabara tukaombe msaada au tufanyeje?
Ni kweli iyo kodi inawanufaisha wachache.Amna cha elimu wala nini, kama kodi unalipa alafu kundi dogo la watu ndio linafaidika na hiyo kodi unafikiri ni nani atataka kulipa kodi
Hata kama umekutwa au kukumbana na jambo gani zito,Hilo jibu lako moja limeonyesha huna hekima,busara,uvumilivu,roho ya kusamehe...wengine wataongezea.Ungeuliza kwanini kwanza kabla hujafikia huo uamuzi
Hilo jibu langu lina mengi ndani yake..
Huu ujinga ukiendekezwa utaikosesha serikali mapato yake, ni bora TRA wafanye ambush za kutosha na zipigwe faini za kufa mtu.Tangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. Mfano ukienda PUMA kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unaambiwa machinembovu. Ni vituo vingi vinafanya hivyo.
TRA MPOOOOO
Hakuna namna ya ukwepaji Kodi usipolipa kwenye mafuta utalipa kwenye chakula Acha pesa zirudi mtaani.Hata wewe yanakuhusu kwa sababu kodi inarudi kukusaidia wewe na ukoo wako.
TRA wanahusika vipi na kifo cha mpendwa⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️, mshtue mrithi la miradi mkubwa ataisikia kwenye hotuba za mtangulizi wakeTangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. Mfano ukienda PUMA kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unaambiwa machinembovu. Ni vituo vingi vinafanya hivyo.
TRA MPOOOOO
Kodi inatakiwa ikusanywe kwenye uzalishaji na sio kwenye matumizi.Yaani too much kodi aisee unanunua kodi,unazalisha kodi,unauza kodi kitu hicho hicho kimoja tu kinakatwa kodi mara sita.Mbona utitiri wa makodi na makusanyo still haba.Kodi kubwa ni lzm makusanyo yawe haba, kodi inayolipika makusanyo huwa mengi.Hii kama hali ndio hii si majanga au ndio ile ya spika kusema watu wajinafasi kwenye nchi yao?
TRA kama hawakusanyi mapato serikali inawalipa salary za nini?
Hata usipochukua risiti inatoka automatically, na kodi inakuwa imekatwa tayari. Kodi itasaidia maendeleo yetu watanzania woteSijawah chukua izo risiti,,,
Nachoangalia mafuta nimepata.
Huu ni ukweli mchunguAmna cha elimu wala nini, kama kodi unalipa alafu kundi dogo la watu ndio linafaidika na hiyo kodi unafikiri ni nani atataka kulipa kodi
Mbona hii kitu ipo sana hata toka kipindi cha JPM, sijui umeanza kuweka mafuta juzi? Kwa sio ambao stakabadhi ni muhimu tulikua tunapewa barua ambayo inapitishwa TRA ikieleza mtambo una shida. Sio kitu kigeni hata kidogo, This is too much jamani kuwa na fikra za namna hii.Tangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. Mfano ukienda PUMA kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unaambiwa machinembovu. Ni vituo vingi vinafanya hivyo.
TRA MPOOOOO
Naijua nchi hii mikoa,vijiji kwa asilimia 90una ndugu vijijini??
Unaendaga kuwatembelea na kuwajulia hali zao za maisha??
ukiongea haya usijiangalie wewe unaeishi mjini darisalama tu.
umejibu OPP swali langu mkuu,kuvijua vijiji sio maana yake ndio una ndugu wanaokuhusu huko vijijini.Naijua nchi hii mikoa,vijiji kwa asilimia 90
Kuhusu nchi hii labda mm ndy niwe mwalimu
Wako
Ova
Labda uniambie zile mashine zimenajisiwa lkn ninachojua zile mashine ziko connected ukiweka mafuta Risiti inajiprint yenyewe Ila kama wamechezea mashine hapo nikweliKodi inalipwa?
Ya cccmkwani kodi inalipwa kwa faida ya nani?