we utakuwa sukuma gangTangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. Mfano ukienda PUMA kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unaambiwa machinembovu. Ni vituo vingi vinafanya hivyo.
TRA MPOOOOO
Nyakati za jiwe watu walilipa Kodi yeye kaenda kununulia wabungeKwa comments hizi ELIMU YA KODI ni muhimu saana.
Hao wahe mpaka sasa hawataki kumaliza msibaNinyi Mataga,
Hamjui kuwa mafuta hayawezi kutoka bila kutoa risiti?
Sukuma Gang zinaluka na kukanyagana.
kama hupewi risiti, maanayake haijawa printed, na kwa maana hiyohiyo mashine haiko connected, so taarifa za kuuzwa mafuta hazifiki kwa Zakayo (Mtoza Ushuru).Labda uniambie zile mashine zimenajisiwa lkn ninachojua zile mashine ziko connected ukiweka mafuta Risiti inajiprint yenyewe Ila kama wamechezea mashine hapo nikweli
Hakuna kitu hapo.Hakuna mtu nilikuwa namheshimu kama MSHANA, sikutegemea kama ungeweza kuchangia hivyo.
Hakuwa na mapungufu alikuwa na MABAYA labda uniambie KUBAMBIKIA KESI nakupoTEZA watu kwako wewe ni ndio MAPUNGUFU acheni ujinga jamaa was EVIL kama kuna Jambo alifanya but sio Hisani kama mnavyolazimisha watu waaminiSiku hizi ukisema kitu chochote cha kushauri unaitwa Sukuma gang sio vizuri kabisa. JPM alifanya mengi tu mazuri hata kama alikuwa na mapungufu
Kodi wakikusanya sawaumejibu OPP swali langu mkuu,kuvijua vijiji sio maana yake ndio una ndugu wanaokuhusu huko vijijini.
Wewe kichwa kama nyanya masaru, mbona unajivua nguo!!!Kwani kabla ya mwenda zake kuingia madarakani kulikua hakukusanywi kodi?
Acha umama
Mmemezeshwa sumu na mwenda zake mkamuona yy ndie rais alieanzisha ukusanyaji wa kodi.
Hilo bichwa lako ni mzigo tu kwa mwili wako.
Sukuma Gang ww
Mtaimalizia nyie na marehemu wenuKwa Sasa ngoja nikae kimya nione mwisho wake. Je ile miradi ya kimkakati Delilah ataikamilisha au itamshinda!?
Na wewe pora hiyo kodi.kodi inakuuma utafikiri baba ako ndio anakusanyahuoni kodi ikiporwa hapo?
Nami nimemjibu jamaa namna hii labda aniambie mashine zimechezewa nitaelewa lkn sio kwamba hawatoi risit wanaokwepa ni wale unaenda anakwambia mashine mbovuNaomba kuuliza hili...
Printing ya zile risiti na upelekwaji data TRA una uhusiano upi? Kwamba usipotoa risiti data haziendi? Maana wa fuel station kile kitendo cha ku-punch kwenye pump, automatically una-punch kwenye EFD machine..
Dai risiti, ukipewa visingizio piga simu TRATangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. Mfano ukienda PUMA kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unaambiwa machinembovu. Ni vituo vingi vinafanya hivyo.
TRA MPOOOOO
Mjinga wwNa wewe pora hiyo kodi.kodi inakuuma utafikiri baba ako ndio anakusanya
Siyo mtu, anamaanisha ule mfumo ambao watanzania tulishauzoea ambao ulikuwa ni wakizalendo umetoweka ghafla. Hivyo JPM ndiyo baba wa kusimamia na kuweka mifumo thabiti ya ulipaji kodi na mambo mengine. Kwa vile msimamizi amefariki hivyo kila kitu kimekufa. Sasa wewe unapokuja na maneno ya kilembwende. ETI SI UMFUATE KAMA UNAMPENDA SANA, kweli wewe ni punguani wa Head.Si umfuate kama unampenda sana
Tangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. Mfano ukienda PUMA kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unaambiwa machinembovu. Ni vituo vingi vinafanya hivyo.
TRA MPOOOOO
Mi 20 kwa bi sasha.Kweli kabisa.
Mi nilidhani ni bahati mbaya. Leo nilikuwa nasafiri kuelekea Mtwara, nilipofika Nangurukuru nikaenda kujaza mafuta kwenye filling station iliyopo kulia baada ya mizani.
Nimeweka mafuta kama ya tsh 40000 nikamwambia muhudumu anipatie risiti.
Jamaa kajizungusha weeee mpaka nikashikwa na hasira na kuamua kuondoka nikidhani hajielewi kumbe ni mpango mkakati wao
Elimu ya kodi hamna kwa wananchi, halafu pia hiyo hiyo inayolipwa inapigwa sasa hapo uzalendo(unakufa) ndio hapo mtu kulipa inakuwa kaziNyakati za jiwe watu walilipa Kodi yeye kaenda kununulia wabunge