Sasa Kigoma Kabingo Kasulu hadi Burundi ni lami tu lakini ni baada ya Rais Samia kutoa TZS800bn

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
6,157
Reaction score
5,451

View: https://youtu.be/MQdQ5Sh0Yzw?si=ltQZuh2mTXdjErYc

Kuna mambo tunaweza kubishana au kubishania ila sio kazi kubwa alizofanya Rais Samia ndani ya Miaka 4.

Rais Samia kwa Ushirikiano na AfDB wanajenga Barabara yenye urefu wa kilometa 305 kutoka Kabingo–Kasulu–Manyovu hadi Burundi kwa thamni ya TZS800bn

Tunafahamu barabara ya Kabingo–Kasulu–Manyovu katika Mkoa wa Kigoma inahusisha kipande cha Kabingo kabla ya Kasulu hadi Manyovu, chenye urefu wa jumla ya 260 km, ambacho ni sehemu ya awamu ya mradi wa upandishaji wa kiwango hadi bitumen standard, zikitumia mkandarasi na ufadhili wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB). Kipande cha Kabingo–Kasulu kina urefu wa takribani 184 km, kikitolewa katika Lot 1 na kukusudiwa kuimarisha usafiri wa kawaida kwenda mpaka wa Burundi kupitia Manyovu-Mugina

Gharama za jumla za mradi wa upandishaji wa barabara ya Nyakanazi–Kasulu–Manyovu zilikadiriwa kuwa karibu USD 322 milioni (sawa na takribani TZS800bn, ikijumuisha sehemu zote mbili za Tanzania (260 km) na Burundi (45 km) pamoja na kubuni na kujenga One‑Stop Border Post Manyovu–Mugina Mkataba wa Kiufundi na utekelezaji wa mradi ulifanywa kwa ushirikiano wa TANROADS na AfDB.
 
Huyo Samia ametoa wapi hizo fedha?
 
Hongera sana Mama Dr Samia,nakumbuka mwaka 2009 nilikuwa na project huko,barabara zilikuwa mbovu,kutekwa nnjennje.halafu wabongo ni kuponda kila kitu.Mimi binafsi Mitano tena kwa Mama samia
 
sasa mambo ni bambam
 
Hizo pesa katoa wapi ?
 
Mama hajawahi kuwa na kazi mbovu
 
sasa deni mbona limetinga uchechefu wa T.107 ungekidadavua tungekushukuru.kundi dogo linatopea kwa utajiri wa Nji
 
Hongera sana Mama Dr Samia,nakumbuka mwaka 2009 nilikuwa na project huko,barabara zilikuwa mbovu,kutekwa nnjennje.halafu wabongo ni kuponda kila kitu.Mimi binafsi Mitano tena kwa Mama samia
kazi za mama ni balaa
 
Kazi nzuri..na barabara ya kuanzia kakonko via kibondo via kasulu hadi kidahwe nayo tayari? Kama tayari tunampongeza kama bado naye ipambaniwe.
 
Back
Top Bottom