CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,157
- 5,451
Huyo Samia ametoa wapi hizo fedha?Kuna mambo tunaweza kubishana au kubishania ila sio kazi kubwa alizofanya Rais Samia ndani ya Miaka 4.
Rais Samia kwa Ushirikiano na AfDB wanajenga Barabara yenye urefu wa kilometa 305 kutoka Kabingo–Kasulu–Manyovu hadi Burundi kwa thamni ya TZS800bn
Tunafahamu barabara ya Kabingo–Kasulu–Manyovu katika Mkoa wa Kigoma inahusisha kipande cha Kabingo kabla ya Kasulu hadi Manyovu, chenye urefu wa jumla ya 260 km, ambacho ni sehemu ya awamu ya mradi wa upandishaji wa kiwango hadi bitumen standard, zikitumia mkandarasi na ufadhili wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB). Kipande cha Kabingo–Kasulu kina urefu wa takribani 184 km, kikitolewa katika Lot 1 na kukusudiwa kuimarisha usafiri wa kawaida kwenda mpaka wa Burundi kupitia Manyovu-Mugina
Gharama za jumla za mradi wa upandishaji wa barabara ya Nyakanazi–Kasulu–Manyovu zilikadiriwa kuwa karibu USD 322 milioni (sawa na takribani TZS800bn, ikijumuisha sehemu zote mbili za Tanzania (260 km) na Burundi (45 km) pamoja na kubuni na kujenga One‑Stop Border Post Manyovu–Mugina Mkataba wa Kiufundi na utekelezaji wa mradi ulifanywa kwa ushirikiano wa TANROADS na AfDB.
yeye ndiye mwekahina mkuu wa TaifaHuyo Samia ametoa wapi hizo fedha?
Hongera sana Mama Dr Samia,nakumbuka mwaka 2009 nilikuwa na project huko,barabara zilikuwa mbovu,kutekwa nnjennje.halafu wabongo ni kuponda kila kitu.Mimi binafsi Mitano tena kwa Mama samiaKuna mambo tunaweza kubishana au kubishania ila sio kazi kubwa alizofanya Rais Samia ndani ya Miaka 4.
Rais Samia kwa Ushirikiano na AfDB wanajenga Barabara yenye urefu wa kilometa 305 kutoka Kabingo–Kasulu–Manyovu hadi Burundi kwa thamni ya TZS800bn
Tunafahamu barabara ya Kabingo–Kasulu–Manyovu katika Mkoa wa Kigoma inahusisha kipande cha Kabingo kabla ya Kasulu hadi Manyovu, chenye urefu wa jumla ya 260 km, ambacho ni sehemu ya awamu ya mradi wa upandishaji wa kiwango hadi bitumen standard, zikitumia mkandarasi na ufadhili wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB). Kipande cha Kabingo–Kasulu kina urefu wa takribani 184 km, kikitolewa katika Lot 1 na kukusudiwa kuimarisha usafiri wa kawaida kwenda mpaka wa Burundi kupitia Manyovu-Mugina
Gharama za jumla za mradi wa upandishaji wa barabara ya Nyakanazi–Kasulu–Manyovu zilikadiriwa kuwa karibu USD 322 milioni (sawa na takribani TZS800bn, ikijumuisha sehemu zote mbili za Tanzania (260 km) na Burundi (45 km) pamoja na kubuni na kujenga One‑Stop Border Post Manyovu–Mugina Mkataba wa Kiufundi na utekelezaji wa mradi ulifanywa kwa ushirikiano wa TANROADS na AfDB.
sasa mambo ni bambamHongera sana Mama Dr Samia,nakumbuka mwaka 2009 nilikuwa na project huko,barabara zilikuwa mbovu,kutekwa nnjennje.halafu wabongo ni kuponda kila kitu.Mimi binafsi Mitano tena kwa Mama samia
Hizo pesa katoa wapi ?Kuna mambo tunaweza kubishana au kubishania ila sio kazi kubwa alizofanya Rais Samia ndani ya Miaka 4.
Rais Samia kwa Ushirikiano na AfDB wanajenga Barabara yenye urefu wa kilometa 305 kutoka Kabingo–Kasulu–Manyovu hadi Burundi kwa thamni ya TZS800bn
Tunafahamu barabara ya Kabingo–Kasulu–Manyovu katika Mkoa wa Kigoma inahusisha kipande cha Kabingo kabla ya Kasulu hadi Manyovu, chenye urefu wa jumla ya 260 km, ambacho ni sehemu ya awamu ya mradi wa upandishaji wa kiwango hadi bitumen standard, zikitumia mkandarasi na ufadhili wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB). Kipande cha Kabingo–Kasulu kina urefu wa takribani 184 km, kikitolewa katika Lot 1 na kukusudiwa kuimarisha usafiri wa kawaida kwenda mpaka wa Burundi kupitia Manyovu-Mugina
Gharama za jumla za mradi wa upandishaji wa barabara ya Nyakanazi–Kasulu–Manyovu zilikadiriwa kuwa karibu USD 322 milioni (sawa na takribani TZS800bn, ikijumuisha sehemu zote mbili za Tanzania (260 km) na Burundi (45 km) pamoja na kubuni na kujenga One‑Stop Border Post Manyovu–Mugina Mkataba wa Kiufundi na utekelezaji wa mradi ulifanywa kwa ushirikiano wa TANROADS na AfDB.
Utadhani siyo kodi za watanzania ni pesa zakeHizo pesa katoa wapi ?
yeye ni ndiye muhazini mkuu wqa TaifaHizo pesa katoa wapi ?
mkuu kwema lakini?Utadhani siyo kodi za watanzania ni pesa zake
Mama hajawahi kuwa na kazi mbovuKuna mambo tunaweza kubishana au kubishania ila sio kazi kubwa alizofanya Rais Samia ndani ya Miaka 4.
Rais Samia kwa Ushirikiano na AfDB wanajenga Barabara yenye urefu wa kilometa 305 kutoka Kabingo–Kasulu–Manyovu hadi Burundi kwa thamni ya TZS800bn
Tunafahamu barabara ya Kabingo–Kasulu–Manyovu katika Mkoa wa Kigoma inahusisha kipande cha Kabingo kabla ya Kasulu hadi Manyovu, chenye urefu wa jumla ya 260 km, ambacho ni sehemu ya awamu ya mradi wa upandishaji wa kiwango hadi bitumen standard, zikitumia mkandarasi na ufadhili wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB). Kipande cha Kabingo–Kasulu kina urefu wa takribani 184 km, kikitolewa katika Lot 1 na kukusudiwa kuimarisha usafiri wa kawaida kwenda mpaka wa Burundi kupitia Manyovu-Mugina
Gharama za jumla za mradi wa upandishaji wa barabara ya Nyakanazi–Kasulu–Manyovu zilikadiriwa kuwa karibu USD 322 milioni (sawa na takribani TZS800bn, ikijumuisha sehemu zote mbili za Tanzania (260 km) na Burundi (45 km) pamoja na kubuni na kujenga One‑Stop Border Post Manyovu–Mugina Mkataba wa Kiufundi na utekelezaji wa mradi ulifanywa kwa ushirikiano wa TANROADS na AfDB.
Safi nambie comrademkuu kwema lakini?
kazi za mama ni balaaHongera sana Mama Dr Samia,nakumbuka mwaka 2009 nilikuwa na project huko,barabara zilikuwa mbovu,kutekwa nnjennje.halafu wabongo ni kuponda kila kitu.Mimi binafsi Mitano tena kwa Mama samia
Hata marekani inadaiwa mkuu kuwa positivesasa deni mbona limetinga uchechefu wa T.107 ungekidadavua tungekushukuru.kundi dogo linatopea kwa utajiri wa Nji
Hapo sawayeye ndiye mwekahina mkuu wa Taifa