Sasa Kigoma Kabingo Kasulu hadi Burundi ni lami tu lakini ni baada ya Rais Samia kutoa TZS800bn

Kuna kijiji kinaitwa Kitagata nilikuwa pale 2017. Ni kipande cha kati ya Kasulu na Kibondo. Hivi ndipo inapopita hiyo barabara?
Mana nilipita hali ilikuwa mbaya sana. Vumbi zito, jekunduuuu na usafiri ni vimchomoko (Toyota probox)
 
Kwa Sasa eneo Hilo ni lami ,Kwa ufupi Sasa hivi kigoma to mwanza ni lami TU.
Kigoma to dar zmebaki chini ya kilometer 10 ambazo mkandarasi anamalzia .
Barabara iliyobaki ni kasulu to uvinza ,hiyo mama akiahidi katka muhula wa pili kura yangu anayo
 
Huyo Samia ametoa wapi hizo fedha?
Watu akili zishakula sijui kitu gani kana kwamba maraisi waliopita hawakufanya miradi yoyote. Japo tulikuwa tunasikia serikali imefanya na sio mtu fulan
 
Alizitioa hizo mabilioni kwenye tumbo lake kama alivyomtoa Abduli?
 
Lami imegoma kipigwa picha
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kwa Sasa eneo Hilo ni lami ,Kwa ufupi Sasa hivi kigoma to mwanza ni lami TU.
Kigoma to dar zmebaki chini ya kilometer 10 ambazo mkandarasi anamalzia .
Barabara iliyobaki ni kasulu to uvinza ,hiyo mama akiahidi katka muhula wa pili kura yangu anayo
Dah umenikumbusha hiyo ya Uvinza to Kasulu. Ile sio barabara. Ni ya hovyo mno vumbi kali, miinuko mikali, mapori kama yote.
 
Modes naomba mfungue jukwaa la samia na hizi thread zake ili niliblock nisiwe naziona asante.
 
Hizi hela anazitoa kwenye akauntibyake ama anakopa na deni tutalip watanganyika kwaio usiseme ametoa sio zake
 
mama ni mwendo wa kazi na Utu tu
Katoa kutoka kwenye mfuko wake up? Wa mbele au wa nyuma?
Wewe Jamaa akili yako ndogo sana. Ni miongoni mwa wajinga hapa jamnvini. Mpaka Leo bado unaamini kwamba mtu kutimiza wajibu wake ni FADHILA?
Raisi ni msimamizi wa fedha za wananchi hizi zinazojenga barabara Leo. Hatoi pesa zake mfukoni hata akifanya hivyo ni makosa.
Mbona hilo lipo wazi???
 
Your Mom is a Moron waiting the bedbugs to give her Eternal Rest "Prayers to the Mom to take off the bugs & live a hopeful life because the only person to give her a favour is now a sycophant"
You're a resourceful person, you deserve a free mind & Lord has Saved you from the Dark Hall. Be confident you can acha sifa za kijinga utapata laana. The president is allocating tozo na kodi kwenye maeneo hayo it's our sweat as we Citizens of this Country.
 
Polepole anasema since 2020 barabara zinajengwa tu haziishi.
Eti ni vumbi
 
TANROADS wanatumia pesa za walipa kodi si pesa za Samia na AfDB pia hawatumii pesa za huyo Samia wenu.
 
Ujenzi ulianza 2020 kipindi cha jiwe huyo mama yenu hakuna alichofanya zaidi ya kuuza bandari.
 
Kwa namna barabara zinavyojengwa chini ya kiwango awamu ya mama Yao ni Bora wakaacha tu huo mradi ili kuokoa pesa zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…