Sasa Kigoma Kabingo Kasulu hadi Burundi ni lami tu lakini ni baada ya Rais Samia kutoa TZS800bn

Pesa hizo si sehemu ya Tril. 107 za deni la Taifa?Tukisema na Deni ni la mama tuko sahihi?
 
Aisee!Kumbe anamiliki hela nyingi kiasi hicho?Basi vema sana.Hapo bado hatujatumia kodi wanazolipa wananchi na mikopo ya wafadhili.
 
Hongera sana Mama Dr Samia,nakumbuka mwaka 2009 nilikuwa na project huko,barabara zilikuwa mbovu,kutekwa nnjennje.halafu wabongo ni kuponda kila kitu.Mimi binafsi Mitano tena kwa Mama samia
Hakika
 
Kama ana uwezo wa kutoa kitita kama hicho kwanini tunakamuliwa kodi?
 
Kwa hiyo wewe MTU wa kabingo ili uingie Burundi utavukia mpaka wa manyovu?
* OK, pendekeza what should be a next step - umepakana na tabiora lkn mnyamwezi hamuonani sababu ya Pori la muyovozi

* Mpaka thabiti wa kuingilia Burundi ni Muhange (barabara ikoje)?
 
Jambo zuri lakini nikurebishe ni pesa ya ugadhili wa afDB si pesa katoa samia
 
hongera
 
Kigoma - Mwandiga - Kabingo - Manyovu - Burundi ni Lami tangu enzi za JK, sijui unazungumzia barabara ipi!?
Barabara pekee iliyokamilika siku za karibuni ni Nyakanazi - Kasulu - Manyovu - Burundi na ilianza kujengwa enzi za Magufuli nadhani Mama yako kamalizia kipande kidogo sana. Hizo sifa mpe J.K na JPM. Punguza uchawa
 
Kazi nzuri..na barabara ya kuanzia kakonko via kibondo via kasulu hadi kidahwe nayo tayari? Kama tayari tunampongeza kama bado naye ipambaniwe.
Tatizo mnajadili na kumsifia mama yenu kwenye maeneo msiyoyafahamu!!!
Kidahwe ina lami zaidi ya miaka 10 iliyopita. Kidahwe ni karibu kabisa na Kigoma mjini (28km tu) na ndo barabara kuu ya Kigoma to Kasulu ambayo ilijengwa miaka zaidi ya 10 iliyopita (enzi za JK)
 
mama ni mwendo wa kazi na Utu tu
Hizi pesa kazitoa kutoka kwenye mfuko wake upi? Wa mbele au wa nyuma? Mana raisi kazi yake siyo kugawa pesa.
Unayaandika haya bila kujua kwamba pesa hi!I ni za SERIKALI ZINATOKA KWA WALIPA KODI HAO WA KIGOMA WAKIWEPO
JINGA WEWE
 
sana,mtz hajafundishwa kushukuru kwa kile kilichopatikana,utampa kila kitu Bado atatafuta kasoro,no wonder hata kufanikiwa inakuwa ngumu sana..
Unzijua kazi za raisi
Baba yako au mama akikununulia nguo !a sikukuu utatoka nje na kumsifia?
 
Samia mitano tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…