Sasa mke wa Makonda ana kosa gani hadi azuiliwe kuingia Marekani?

Pompeo mke wa makonda kakufanya nn.... Au kakuchomolea kimasikhara nn
 
Ukipigwa ban ya kuingia USA, kamwe huwezi fanya ujanja ujanja ukaingia huko, ni rahisi kwako kuingia mbinguni kuliko USA, tena!!

Na vyenge kibao wanadhani ni USA pekee yake,ni kwamba ni nchi zote za G7 hatakanyaga hata aloge!

Wote hao ni allies wa US!

Wakati anajaza fomu za Germany au UK au Canada au popote kuna kipengele cha “aulishawahi kua banned kuingia popote?na sababu nini”....akijibu hapo ni lazima akose visa,piga ua!

Jamaa kala doa la maisha yaani!
 
Kwahiyo viongozi wa serikali wanatakiwa kushauriwa na wake zao majukumu ya kiuongozi?!
Kuteka na kuuwa ni sehemu ya majukumu ya viongozi?
Labda niulize kidogo, Nini kosa la mke na watoto wa Azory Gwanda hadi kubaki ktk ujane na uyatima?
 
Nimeshangazwa sana na katazo la mke wa RC kuingia nchini Marekani. Yeye binafsi ana kosa gani?!

Naomba Pascal Mayalla na Nyani Ngabu mkuje hapa kunitoa tongotongo.

Nawasilisha!

Soma ule waraka wao mbona wameeleza wazi wazi.

Hawana cha kuficha - maendeleo hayana vyama!
 
Basi Kama Ni hivyo mke wa igp anaweza amuru ukatwe
 
Nimeshangazwa sana na katazo la mke wa RC kuingia nchini Marekani. Yeye binafsi ana kosa gani?!

Naomba Pascal Mayalla na Nyani Ngabu mkuje hapa kunitoa tongotongo.

Nawasilisha!

Ukiwa mke wa shetani, hata ww ni shetani pia.
 
Makonda atakuwa kiongozi wa kwanza tokea nchi hii ipate Uhuru kuwaponza vijana wengi kwa kuwaharibia ndoto zao.
Imagine mtu kama Diamond azuiwe kusafiri kwenda baadhi ya nchi kwamba anashirikiana na muuaji maana yake nini? Kampuni kubwa kama Coke, Pepsi, Vodacom na kadhalika zitaacha kumtumia.
Pia awards mbalimbali hawayaingiza kina lake maana limechafuka kiss Makonda. Kweli makonda babalao! (Babalao my foot!)
Vijana wali tahadharishwa sana, hadi mwenzao Child Benz aliwahi kuwa tahadharisha lakini waliona ni ujinga!
 
Nimeshangazwa sana na katazo la mke wa RC kuingia nchini Marekani. Yeye binafsi ana kosa gani?!

Naomba Pascal Mayalla na Nyani Ngabu mkuje hapa kunitoa tongotongo.

Nawasilisha!
Ni mnufaika Wa uovu na sio mke tu yafaa familia nzima inapigwa fully life ban katazo la Maisha kuingia USA na ulaya ili wasisambaze roho chafu,kama familia wameshindwa kumkanya muovu sababu ni wanufaika
 
Nimeshangazwa sana na katazo la mke wa RC kuingia nchini Marekani. Yeye binafsi ana kosa gani?!

Naomba Pascal Mayalla na Nyani Ngabu mkuje hapa kunitoa tongotongo.

Nawasilisha!
Lengo ni kuzuia sababu yoyote itakayofanya Makonda akanyage ardhi ya Marekani, mfano mke ama mwanafamilia yoyote akienda kwa matibabu ni dhahiri Makonda atakuwa na sababu ya msingi kukanyaga Marekani.

Hivyo ni vikwazo ni lazma vibane mianya ktk mazingira yoyote ili jamaa asikanyage tu.
 
Very true na hio ndo sababu kubwa nchi za EU zitaungana na US kumpa ban jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…