Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Maisha ni pesa, na utulivu wa nafsi pia unahitaji pesa.
Sasa najaribu kufikiria, namna ya kutumia hili jukwaa katika kujiingizia kipato; wazo la kuwatumia nyie kama fursa ya kiuchumi.
Leteni wazo wakuu, nifanyeje ili nyie muwe fursa kwangu ya mimi kujiongezea kipato?