Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,964
- 11,078
๐๐๐๐Fungua I'd mpya uombe buku ya chai unaweza kuambulia chochote
๐๐๐๐Fungua I'd mpya uombe buku ya chai unaweza kuambulia chochote
Ndio kitu gani hicho?Nakumbuka nilianza kama utani YAKUZ YAVUZ ila sasa nimekutana na watu ambao wamefanikiwa kupitia YAKUZ YAVUZ..
Maisha haya yana siri kubwa sana..
Nakumbuka humu kuna jamaa alitoa ushahidi wa dukani kwake na jinsi gani YAKUZ YAVUZ ili msaidia
Umechangia kampuni zinazotoa bandoSawa mkuu lakini si tayari tumeshachangia za bando?
Karibu mkuu...Ndio kitu gani hicho?
Hawana huruma hao, ni sawa na kwenda kuuziwa udongo na majiIla hayo mahindi si unapewa na moderators๐
Unawez ukawa hata dalali wa mashamba ama wa mazao kiongoziWazo zuri sana, katika kutembelea hivyo vijiji ni lazima uwe na chanzo cha kukufikisha kule,je nitakuwa najipatiaje kipato?
Wazo zuriUnawez ukawa hata dalali wa mashamba ama wa mazao kiongozi
Pamoja bro.Umekuja na wazo zuri, itabidi tukaushe majani ya mchicha, alafu wewe uwe mkurugenzi wa kutafuta masoko na kushawishi wale wote wanaopenda uzi wa kimasihara.
Ukipata kipato karibu sana pmMaisha ni pesa, na utulivu wa nafsi pia unahitaji pesa.
Sasa najaribu kufikiria, namna ya kutumia hili jukwaa katika kujiingizia kipato; wazo la kuwatumia nyie kama fursa ya kiuchumi.
Leteni wazo wakuu, nifanyeje ili nyie muwe fursa kwangu ya mimi kujiongezea kipato?
Humu sio poa kibiasharaNi sawa na mwizi anataka kumuibia mwizi mwenzie
Jf hapahapaHiyo akili ameipata darasani au mtaani?
Mkuu, please nenda katika social media platforms za wazungu. Achana na hawa waswahili wapumbavรป.Maisha ni pesa, na utulivu wa nafsi pia unahitaji pesa.
Sasa najaribu kufikiria, namna ya kutumia hili jukwaa katika kujiingizia kipato; wazo la kuwatumia nyie kama fursa ya kiuchumi.
Leteni wazo wakuu, nifanyeje ili nyie muwe fursa kwangu ya mimi kujiongezea kipato?
Kule wamewezaje?Mkuu, please nenda katika social media platforms za wazungu. Achana na hawa waswahili wapumbavรป.
Wafirisi utawajua tuUkipata kipato karibu sana pm

Wana IQ kubwa sana na sio waswahili. Ni watu wenye roho nyeupe sana.Kule wamewezaje?
Maisha ni pesa, na utulivu wa nafsi pia unahitaji pesa.
Sasa najaribu kufikiria, namna ya kutumia hili jukwaa katika kujiingizia kipato; wazo la kuwatumia nyie kama fursa ya kiuchumi.
Leteni wazo wakuu, nifanyeje ili nyie muwe fursa kwangu ya mimi kujiongezea kipato?
toka 2017 bado hujajua ufanyeje kuingiza hela?Maisha ni pesa, na utulivu wa nafsi pia unahitaji pesa.
Sasa najaribu kufikiria, namna ya kutumia hili jukwaa katika kujiingizia kipato; wazo la kuwatumia nyie kama fursa ya kiuchumi.
Leteni wazo wakuu, nifanyeje ili nyie muwe fursa kwangu ya mimi kujiongezea kipato?
Ni sawa na kuuliza kwa nini walimu wa shule za msingi waliofundisha viongozi, wao hawajawa viongozitoka 2017 bado hujajua ufanyeje kuingiza hela?
๐๐๐๐๐๐๐ poleeeeeNi sawa na kuuliza kwa nini walimu wa shule za msingi waliofundisha viongozi, wao hawajawa viongozi