Sasa najaribu kufikiria, namna ya kutumia hili jukwaa katika kujiingizia kipato

Sasa najaribu kufikiria, namna ya kutumia hili jukwaa katika kujiingizia kipato

Anza kuanzisha tour za vijijini kuangalia mashamba....wawekezaji watakusapoti sana
Wazo zuri sana, katika kutembelea hivyo vijiji ni lazima uwe na chanzo cha kukufikisha kule,je nitakuwa najipatiaje kipato?​
 
Ujue hili suala nilikuw naliwaza sana hadi mchana kwanini jf hawana monetization programu kwa member au wao ni non profit organization au ipo me ndio sijui
Inawezekana labda ipo kwenye mada nzito fikirishi.
 
Mwenzako Mbaga Jr anawapiga laki laki new member
Ndugu yangu, kuwa na bluetick tena kiwango cha gold ni gharama
Kwa sababu inakuja na premium features kama vile

1: Kufuta mada.
2: Ukimblock mtu haoni content zako
3: Kufuta comment za wengine kwenye mada yako n.k

Hizi hazipo kwa wale wenye bluetick ya kawaida, njoo pm kwa mawasiliano zaidi na nitakupa namba ya mpesa kwa ajili ya kufanya malipo yako ya Tsh 100k 😎
 
Nimejikuta napata wazo la kufungua duka la mitishamba uswahilini.
IMG-20250124-WA0002.jpg

Unaona hii brand, jamaa anaichakachua anaifungua anamimina kwenye jagi halafu anachukua mo energy anamix humo then anatoa Ile lebo ya mo energy anabandika lebo yake yani ya brand yake yeye kama tabibu theni anajaza kile kimiminika alichotia kwenye jagi kilichomixed na mo energy halafu anafunga seal. Mzigo anawauzia zaidi ya 40 elfu wakenya na wananunua... Aisee Hawa matabibu uchwara anachana nao kabisa. Na jamaa ofisi na gamba anavyo vyote
 
Ndugu yangu, kuwa na bluetick tena kiwango cha gold ni gharama
Kwa sababu inakuja na premium features kama vile

1: Kufuta mada.
2: Ukimblock mtu haoni content zako
3: Kufuta comment za wengine kwenye mada yako n.k

Hizi hazipo kwa wale wenye bluetick ya kawaida, njoo pm kwa mawasiliano zaidi na nitakupa namba ya mpesa kwa ajili ya kufanya malipo yako ya Tsh 100k 😎
Dah😄
 
Maisha ni pesa, na utulivu wa nafsi pia unahitaji pesa.

Sasa najaribu kufikiria, namna ya kutumia hili jukwaa katika kujiingizia kipato; wazo la kuwatumia nyie kama fursa ya kiuchumi.

Leteni wazo wakuu, nifanyeje ili nyie muwe fursa kwangu ya mimi kujiongezea kipato?​
Ukiwa tyr kupakwa mgando utapga kwacha za kutosha tu aise.
 
Back
Top Bottom