Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Mm nasemea bluetick yenye badge ya gold, soma vzrBlue tick
Mm nasemea bluetick yenye badge ya gold, soma vzrBlue tick
Muhimu tu isilete madhara kwa walajiView attachment 3419876
Unaona hii brand, jamaa anaichakachua anaifungua anamimina kwenye jagi halafu anachukua mo energy anamix humo then anatoa Ile lebo ya mo energy anabandika lebo yake yani ya brand yake yeye kama tabibu theni anajaza kile kimiminika alichotia kwenye jagi kilichomixed na mo energy halafu anafunga seal. Mzigo anawauzia zaidi ya 40 elfu wakenya na wananunua... Aisee Hawa matabibu uchwara anachana nao kabisa. Na jamaa ofisi na gamba anavyo vyote
Ni sawa na mwizi anataka kumuibia mwizi mwenzieUmu pagumu kinyaa kinyama
Dalali wa nini?Kuwa dalali
Ebu jiwekee blue tick tuioneBlue tick
Hiyo si unatuma maombi tu, ukikamilisha vigezo vyao unawekewa, sijajua kwa hum kama unalipia, ila meta na X unalipia huduma kwa Kila mweziEbu jiwekee blue tick tuione
Madhara lazima yawezo aiseeMuhimu tu isilete madhara kwa walaji
Aliyewekewa blue tick ananufaika na nini?Hiyo si unatuma maombi tu, ukikamilisha vigezo vyao unawekewa, sijajua kwa hum kama unalipia, ila meta na X unalipia huduma kwa Kila mwezi
Mtumiaji akikata moto ndipo shida inapoanziaMadhara lazima yawezo aisee
Najaribu kufikiria, angalau kila raia akichangia bidhaa kwa shilingi 100 tu, tayari nina bilioni 6Weka bango la biashara yako hapo juu kama hao tigo
Sijawahi kuwaelewa ila nadhani Kuna baadha ya features ambazo wanapendelewa hasa kwa wale wa biashara mtandaoni ikiwemo pia usalama wa account zao si rahisi kudukuliwaAliyewekewa blue tick ananufaika na nini?
Wangapi watachangia?Fungua I'd mpya uombe buku ya chai unaweza kuambulia chochote
Ukiomba Buku ya chai unatulia kimya hata ukipata husemi kama umepata kwa matajiri uchwara wa Jf unaweza kuambulia buku 3 kwa masaa 24Wangapi watachangia?
Sawa mkuu lakini si tayari tumeshachangia za bando?Najaribu kufikiria, angalau kila raia akichangia bidhaa kwa shilingi 100 tu, tayari nina bilioni 6
Reported comment banned 🚫Ukiomba Buku ya chai unatulia kimya hata ukipata husemi kama umepata kwa matajiri uchwara wa Jf unaweza kuambulia buku 3 kwa masaa 24
Ila hayo mahindi si unapewa na moderators😁Mimi nashindia mahindi ya kuchoma tu, sijui wengine 😀