Sasa najaribu kufikiria, namna ya kutumia hili jukwaa katika kujiingizia kipato

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Maisha ni pesa, na utulivu wa nafsi pia unahitaji pesa.

Sasa najaribu kufikiria, namna ya kutumia hili jukwaa katika kujiingizia kipato; wazo la kuwatumia nyie kama fursa ya kiuchumi.

Leteni wazo wakuu, nifanyeje ili nyie muwe fursa kwangu ya mimi kujiongezea kipato?​
 
Anza kuanzisha tour za vijijini kuangalia mashamba....wawekezaji watakusapoti sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…