Sasa najaribu kufikiria, namna ya kutumia hili jukwaa katika kujiingizia kipato

Muhimu tu isilete madhara kwa walaji
 
Hiyo si unatuma maombi tu, ukikamilisha vigezo vyao unawekewa, sijajua kwa hum kama unalipia, ila meta na X unalipia huduma kwa Kila mwezi
Aliyewekewa blue tick ananufaika na nini?
 
Aliyewekewa blue tick ananufaika na nini?
Sijawahi kuwaelewa ila nadhani Kuna baadha ya features ambazo wanapendelewa hasa kwa wale wa biashara mtandaoni ikiwemo pia usalama wa account zao si rahisi kudukuliwa
 
Nakumbuka nilianza kama utani YAKUZ YAVUZ ila sasa nimekutana na watu ambao wamefanikiwa kupitia YAKUZ YAVUZ..

Maisha haya yana siri kubwa sana..
Nakumbuka humu kuna jamaa alitoa ushahidi wa dukani kwake na jinsi gani YAKUZ YAVUZ ili msaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…