Sasa najaribu kufikiria, namna ya kutumia hili jukwaa katika kujiingizia kipato

Nakumbuka nilianza kama utani YAKUZ YAVUZ ila sasa nimekutana na watu ambao wamefanikiwa kupitia YAKUZ YAVUZ..

Maisha haya yana siri kubwa sana..
Nakumbuka humu kuna jamaa alitoa ushahidi wa dukani kwake na jinsi gani YAKUZ YAVUZ ili msaidia
Ndio kitu gani hicho?
 
Ukipata kipato karibu sana pm
 
Mkuu, please nenda katika social media platforms za wazungu. Achana na hawa waswahili wapumbavΓ».
 

toka 2017 bado hujajua ufanyeje kuingiza hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…