Sasa najaribu kufikiria, namna ya kutumia hili jukwaa katika kujiingizia kipato

Ingia PM ya kila memba muombe hela. Mwambie yeyote anayetuma pesa kwako anafanikiwa katika kila anachofanya. Na kwamba kama ni mgonjwa atapona maradhi yake.
Mwamposa alianza hivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…