Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wa upande wa Shujaa wa Afrika mbona wanamalalamiko sana? Tatizo ni nini? Sasa Samia asisifiwe kwa mazuri kwa sababu ya marehemu aliyetangulia mbele za haki?Spika wa Bunge Job Ndugai amemuagiza Katibu wa wabunge wa CCM Jasson Rweikiza kuitisha kikao cha kamati ya wabunge wa CCM (party caucus) kwasababu ndio mahali wanaweza kudhibitiana..
Utopolo parliamentBunge la hovyo sana hili!
Hii dhambi waliyoifanya itawatafuna hawata kaa waelewane.Uchaguzi urudiwe kuepusha shali Ili tupate wawakilishi wa wananchi
Mpaka wamwagane damu kama walizomwaga Mzimu ule hautawaacha.Ushetani wa Oct. 28 utawatafuna tu.
Umeanza na mungu wao
Dhuluma ya wizi wa uchaguzi haiwezi kuwaacha salama wanenguaji!Wache wafu wazikane wenyewe. Ndo hasara ya bunge lenye maccm tupu. Wangekuwepo Upinzani hapo wala wasingegombana maana kazi ya kumbagaza Magufuli ingekuwa ya wapinzani.
Ccm ninwafitina sanaanaaanaDhuluma ya wizi wa uchaguzi haiwezi kuwaacha salama wanenguaji!
Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
Wachiaga wafu wazikwane wenyeweWameanza kuumana wao kwa wao. Mtanikumbuka kwa mema si kwa mabaya.
Hiiiii bhagosha.