Sasa ni dhahiri Bungeni kuna kundi la Rais Samia na kundi la Hayati Magufuli. Spika Ndugai awataka wabunge wa CCM kuitisha kikao cha usuluhishi

Sasa ni dhahiri Bungeni kuna kundi la Rais Samia na kundi la Hayati Magufuli. Spika Ndugai awataka wabunge wa CCM kuitisha kikao cha usuluhishi

Kila kilichokuja kiharamu kitaondoka. Ni suala la muda tu.Sioni mama akifika mbali na hili bunge la ajabu!Na linajimaliza lenyewe, na iwe hivyo haraka iwezekanavyo ili wasitucheleweshe kufanya reforms za msingi kwenye nchi yetu. Hatuna mda wa kukimbizana kidali po na watoto.Waende nje wakamalizie michezo yao kwanza.
 
Spika wa Bunge Job Ndugai amemuagiza Katibu wa wabunge wa CCM Jasson Rweikiza kuitisha kikao cha kamati ya wabunge wa CCM (party caucus) kwasababu ndio mahali wanaweza kudhibitiana..
Wale wa upande wa Shujaa wa Afrika mbona wanamalalamiko sana? Tatizo ni nini? Sasa Samia asisifiwe kwa mazuri kwa sababu ya marehemu aliyetangulia mbele za haki?
 
Back
Top Bottom