Sasa ni dhahiri kesi ya Mbowe imekaa vibaya. Mashahidi 24 na vielelezo 19 vya serikali si mchezo. Ni mkao wa kunyolewa

Kwa kweli kwenye kesi hii kuna uwezekano mkubwa Mbowe akala miaka 20 jela. Serikali imeonesha kwa kweli imejipanga. Sioni urahisi wa Mbowe kuchomoa kwenye kesi hii.
Mbowe hawezi kuchomoka kwa sababu makando kando yake ni mengi. Alifikiri Serikali oops DPP hana ushahidi wakati wenzake walikuwa wanachukua ushahidi kwa muda mrefu na isitoshe sheria lazima ichukue mkondo wake. Maisha yake yale ya ujanja ujanja yamegonga mwamba.
 
Mwenyezi Mungu ni wa kuogopwa sana.

Mwenyezi Mungu ni Mungu apendezwae na haki.

Mungu ndiye ajuaye kuwamudu Wanadamu bila kujali mtu anajiona Mwamba au hodari au kuwa na Mamlaka kubwa kiasi gani!

Ijapotokea hila, ushabiki, chuki, propaganda, na uovu mwingine Mwenyezi Mungu ndiye Mwamuzi.

Mwenyezi Mungu ni zaidi ya fundi na Mhandisi.
 
Kaombe nawe uongezewe katika mashahidi wa Jamhuri. Wenzio Sirro na tayari wataitwa upande wa utetezi.
Tafadhali usikose
 
Mungu ndiye ajuaye kuwamudu Wanadamu bila kujali mtu anajiona Mwamba au hodari au kuwa na Mamlaka kubwa kiasi gani!
Kwa kupitia katiba JMTZ iliyopo, nyie ndio mnaoabudu wanadamu na kujivunia madikteta . Hilo liko wazi kabisa.
Lakini ni dhambi kubwa kumhusisha Mwenyezi Mungu katika hizo ibada zenu
 
Nenda kaongeze nguvu maana ushahidi wa kubambikiza unapwaya na kuyumbisha mashitaka
 
Kwa kweli kwenye kesi hii kuna uwezekano mkubwa Mbowe akala miaka 20 jela. Serikali imeonesha kwa kweli imejipanga. Sioni urahisi wa Mbowe kuchomoa kwenye kesi hii.
sasa wapumbavu badala ya kukaa chini kutafakari jinsi ya kuchomoka watakuita wewe mjinga
 
Punguani wewe mabango ya ninyi vichaa ndo ya maana?!
 
Mbowe lazima ale mvua. Lema mjanja alikimbia madeni na kesi ya ugaidi. Kwa sababu lema alikuwa jambazi so anajua kabisa kama kitu kimekaa vibaya.
My friend, mahakama ya sasa hazijatiwa mfukoni kama enzi za mwendazake.
Mbowe hana kesi. Na haimchikui muda atawashinda kwa aibu iliyo kuu
 
Ghaidi Mbowe hachomoi this time,Safi Sana serikali yangu
 
Mbona hujaweka namba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…