Sasa ni dhahiri kesi ya Mbowe imekaa vibaya. Mashahidi 24 na vielelezo 19 vya serikali si mchezo. Ni mkao wa kunyolewa

Kwa kweli kwenye kesi hii kuna uwezekano mkubwa Mbowe akala miaka 20 jela. Serikali imeonesha kwa kweli imejipanga. Sioni urahisi wa Mbowe kuchomoa kwenye kesi hii.
Mbowe hawezi kuchomoka kwa sababu makando kando yake ni mengi. Alifikiri Serikali oops DPP hana ushahidi wakati wenzake walikuwa wanachukua ushahidi kwa muda mrefu na isitoshe sheria lazima ichukue mkondo wake. Maisha yake yale ya ujanja ujanja yamegonga mwamba.
 
Mwenyezi Mungu ni wa kuogopwa sana.

Mwenyezi Mungu ni Mungu apendezwae na haki.

Mungu ndiye ajuaye kuwamudu Wanadamu bila kujali mtu anajiona Mwamba au hodari au kuwa na Mamlaka kubwa kiasi gani!

Ijapotokea hila, ushabiki, chuki, propaganda, na uovu mwingine Mwenyezi Mungu ndiye Mwamuzi.

Mwenyezi Mungu ni zaidi ya fundi na Mhandisi.
 
SERIKALI MWACHIENI HUYO MBOWE SASA HIVI HAPA MACHAME NA JIMBO LOTE LA HAI AMEKUWA NYOKA WA KIBISA. NA HUKO TANZANIA KWINGINE ATAPOTEA TUU, KIGOGO ANAMALIZA MCHEZO.

1) Maisha ya Hai yamebadilika kuna utulivu.

2) Kuna Usalama karibu Hai yote.

3) Mitandao ya wezi sugu haopo tena, ambao ulijinasibisha na Chadema na Mbowe haupo tena.

4) Wezi wote wa kutumia silaha na ambao kwa mkoa wa Kilimanjaro na Arusha makao makuu ilikuwa Hai wamepotea katika ramani ya dunia na walio baki wamekimbia na kutokamea kusiko julikana.

5) Machalii wa Lema na mtandao wao wa wizi umepasuliwa tudo salama na Utambuzi wa magari hakuna. Na hii tunajua kuna watu wanasumbuka ila tunawapa pole kwa kufiwa na kundi kubwa.

6) Majirani zetu Waislamu at last wamepata haki na mali zao zote zimerudi. Mali hizo ikiwemo viwanja vya shule, shule, misikiti na kuwaondoa kabisa Wamachame ambao hatukutaka kutokuwa na haki ya kumiliki ardhi. Tatizo lilo sumbua ni jamii ya dini fulani tuu kukosa haki hiyo.

Mabadiliko hayo hayawezi kuwa reversed tena, japo kuna waliokuwa wakio opewa kwa kufanya mabaya hapa Machame kwa muda mrefu Chini ya kivuli cha Chadema .wanajiona wamevunjiwa heshima.

TUMEFANIKIWA KUFANYA REVERSE OSMOSIS KATIKA UTAWALA WA JUMLA HAPA MACHAME KUANZIA NYUMBA KUMI, WENYE VITI WA MITAAA, WENYE VITI WA VIJIJI, MADIWANI, MBUNGE, NA KILA TAKATAKA TUMEFAGIA YOOOOOOTE. CCM OYEEEEEE.
Kaombe nawe uongezewe katika mashahidi wa Jamhuri. Wenzio Sirro na tayari wataitwa upande wa utetezi.
Tafadhali usikose
 
Mungu ndiye ajuaye kuwamudu Wanadamu bila kujali mtu anajiona Mwamba au hodari au kuwa na Mamlaka kubwa kiasi gani!
Kwa kupitia katiba JMTZ iliyopo, nyie ndio mnaoabudu wanadamu na kujivunia madikteta . Hilo liko wazi kabisa.
Lakini ni dhambi kubwa kumhusisha Mwenyezi Mungu katika hizo ibada zenu
 
Mbowe hawezi kuchomoka kwa sababu makando kando yake ni mengi. Alifikiri Serikali oops DPP hana ushahidi wakati wenzake walikuwa wanachukua ushahidi kwa muda mrefu na isitoshe sheria lazima ichukue mkondo wake. Maisha yake yale ya ujanja ujanja yamegonga mwamba.
Nenda kaongeze nguvu maana ushahidi wa kubambikiza unapwaya na kuyumbisha mashitaka
 
Kwa kweli kwenye kesi hii kuna uwezekano mkubwa Mbowe akala miaka 20 jela. Serikali imeonesha kwa kweli imejipanga. Sioni urahisi wa Mbowe kuchomoa kwenye kesi hii.
sasa wapumbavu badala ya kukaa chini kutafakari jinsi ya kuchomoka watakuita wewe mjinga
 
Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi.

Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu kwa nini IGP alilizungumzia hii kesi kwa kujiamini sana na kueleza kuwa Mbowe kama ni mkristo mkweli atawaeleza ukweli wafuasi wake. Yote kwa yote, mahakama ndicho chombo cha juu cha kutoa hukumu.

Kupitia hukumu hiyo tutajua ukweli wa jambo hili. Kwa hatua iliyofikia kesi hii, ni vyema sasa tuiache mahakama ifanye kazi yake. Mabango na kauli za kisiasa kutoka Chadema sasa siyo mahali pake. Bahati nzuri katiba za vyama vyote vya siasa vinasisitiza juu ya kutambua utawala wa kisheria ambapo masuala ya mahakamani yanaachwa kwa mahakama kuamua na siyo kuyaleta kwenye majukwaa ya kisiasa.

Tutaishangaza dunia ikiwa bado chama fulani kitaendelea na kuweka mashinikizo nje ya mahakama. Pamoja na kwamba shinikizo zenyewe hazina hata nguvu ya kufungua soda na haziwezi kubadili lolote kuhusu mwenendo wa hii kesi, bado ni bora tukaachana na kuonesha shinikizo hizo ambazo kwangu naziona ni za kitoto na zinazidi tu kuwadhalilisha wanaoziweka.

Court decisions are based on what the law says and what the evidence proves. There is no place in the courts for suspicion, bias or favouritism. Tuachane na hizo empty rhetoric
Punguani wewe mabango ya ninyi vichaa ndo ya maana?!
 
Mbowe lazima ale mvua. Lema mjanja alikimbia madeni na kesi ya ugaidi. Kwa sababu lema alikuwa jambazi so anajua kabisa kama kitu kimekaa vibaya.
My friend, mahakama ya sasa hazijatiwa mfukoni kama enzi za mwendazake.
Mbowe hana kesi. Na haimchikui muda atawashinda kwa aibu iliyo kuu
 
SERIKALI MWACHIENI HUYO MBOWE SASA HIVI HAPA MACHAME NA JIMBO LOTE LA HAI AMEKUWA NYOKA WA KIBISA. NA HUKO TANZANIA KWINGINE ATAPOTEA TUU, KIGOGO ANAMALIZA MCHEZO.

1) Maisha ya Hai yamebadilika kuna utulivu.

2) Kuna Usalama karibu Hai yote.

3) Mitandao ya wezi sugu haopo tena, ambao ulijinasibisha na Chadema na Mbowe haupo tena.

4) Wezi wote wa kutumia silaha na ambao kwa mkoa wa Kilimanjaro na Arusha makao makuu ilikuwa Hai wamepotea katika ramani ya dunia na walio baki wamekimbia na kutokamea kusiko julikana.

5) Machalii wa Lema na mtandao wao wa wizi umepasuliwa tudo salama na Utambuzi wa magari hakuna. Na hii tunajua kuna watu wanasumbuka ila tunawapa pole kwa kufiwa na kundi kubwa.

6) Majirani zetu Waislamu at last wamepata haki na mali zao zote zimerudi. Mali hizo ikiwemo viwanja vya shule, shule, misikiti na kuwaondoa kabisa Wamachame ambao hatukutaka kutokuwa na haki ya kumiliki ardhi. Tatizo lilo sumbua ni jamii ya dini fulani tuu kukosa haki hiyo.

Mabadiliko hayo hayawezi kuwa reversed tena, japo kuna waliokuwa wakio opewa kwa kufanya mabaya hapa Machame kwa muda mrefu Chini ya kivuli cha Chadema .wanajiona wamevunjiwa heshima.

TUMEFANIKIWA KUFANYA REVERSE OSMOSIS KATIKA UTAWALA WA JUMLA HAPA MACHAME KUANZIA NYUMBA KUMI, WENYE VITI WA MITAAA, WENYE VITI WA VIJIJI, MADIWANI, MBUNGE, NA KILA TAKATAKA TUMEFAGIA YOOOOOOTE. CCM OYEEEEEE.
Mbona hujaweka namba?
 
Back
Top Bottom