johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa....... Atatumia mbinu za kitabuni!YERICKO ATASHINDA ASUBUHI NA MAPEMA
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwingine ni mwandishi nguli wa vitabu vya mbinu za ujasusi duniani.
Maendeleo hayana vyama
Hahahaaaa......!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwache Yericko ajaribu bahati yake!Ila upinzani mngewaachia hao CCM wagombee wenyewe washinde wenyewe. Nyie muwe watazamaji tuu maana hata iweje watapita wao iwe kwa haki au dhuluma.
YERICKO ATASHINDA ASUBUHI NA MAPEMA
Ila upinzani mngewaachia hao CCM wagombee wenyewe washinde wenyewe. Nyie muwe watazamaji tuu maana hata iweje watapita wao iwe kwa haki au dhuluma.
Mbinu ya kususa itafanikiwa kweli ilihali nssr imeshajiandaa?Naunga mkono hoja Tanzania iwe Kama Sweden
Na ndiye mtangaza matokeoMakonda atashinda Jimbo lolote atakalogombea hata ingekua kongwa kwasababu mteja wake ndiye raisi,ndiye amiri jeshi ,ndiye tume ya uchaguzi na ndiye mahakama
Kuna Tofauti kubwa sana Kati ya vyama vya upinzani na matawi ya CCMMbinu ya kususa itafanikiwa kweli ilihali nssr imeshajiandaa?
Makonda alishajitengenezea mazingira, hivyo ni dhahiri ashakuwa mbunge+