Uchaguzi 2020 Sasa ni dhahiri ubunge Kigamboni itakuwa Makonda (CCM) vs Yericko Nyerere (CHADEMA)

Nadhani record hiyo 2015 lema anaweza kuwa ndie mbunge aliyeweka record ya kupigiwa kura nyingi,I don't know 2020,Mambo yatakuwaje kwakwe.Ahadi zake kwa wapiga kura Kama hajazitekeleza,A town inawezekana kabisa kurudi mikononi kwa wapinzani wake.
hapana ni Mh. Sugu ndio aliongoza kwa kupigiwa kura nyingi kuliko wagombea wote katika nafasi ya Ubunge na sio Mh. Lema

aim for the stars
 
Mkishashiba uwaga mnajiandikia tu
 
Yericko hana muonekano wa kibunge, pamoja na kwamba simkubali Makonda, lakin naamini atakuwa chaguo Bora kuliko Kachero Yericko.
 
Makonda atashinda Jimbo lolote atakalogombea hata ingekua kongwa kwasababu mteja wake ndiye raisi,ndiye amiri jeshi ,ndiye tume ya uchaguzi na ndiye mahakama
Umesahahu kuongezea sifa moja, mteja wake ni jiwe na ndiye mkuu wa malaika.
 
Nahene Ntundagi, na huko Kivule nako anagombea Makonda
 
Kwani Dr Ndungulile hagombei?
 
Kweli ubunge umekuwa kitu rahisi sana aisee Yerico, naye anataka ubunge.
Teh teh teh
 
Kwani Dr Ndungulile hagombei?
Mkuu Kumbunga,
Kwema habari za masiku sisi wazima tupo vijijini na kilimo tu, naona ubunge umekuwa kazi rahisi sana kila mtu anautaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…