Acha ukilazaYou are not serious dude..! Hata kama ni chuki hii yako imezidi, yaani unamlaumu Waziri wa Nishati kwa kupanda bei ya mafuta.? Unajua bei ya mafuta kwa sasa kwenye soko la Dunia?
You are not serious dude..! Hata kama ni chuki hii yako imezidi, yaani unamlaumu Waziri wa Nishati kwa kupanda bei ya mafuta.? Unajua bei ya mafuta kwa sasa kwenye soko la Dunia?
Acha ukilaza
Ni bora ukae kimya
Zambia au rwanda wao wanachimba mafuta?
Huoni maza ako anachokifanya?Shemeji yangu..
Unajiona mjanja mwenyewe kuleta hoja za udini?
Kifamilia na kidini
Inasikitisha sana kwakweli.Uliamini ile kauli ya mgao wa umeme Tanzania utakwisha baada ya siku kumi?! over my dead body. Waziri wa Nishati ni much know sana mdomoni lakini sio kwenye utendaji.
Makamba amelegea haswa, anapewa kero zinazoihusu wizara yake anajibu kama tatizo ni uwaziri au urais wa Samia, huyu jamaa anaficha udhaifu wake kwenye kivuli cha Rais, sasa wacha wote waangushiwe jumba bovu.
Tutafika tukiwa hooooooii!!!Vilio vimekuwa Vingi sasa
Tutafikaje !
Ulichelewa kumfahamu mtu huyu. Tangu aliposema anasubili crane yenye uwezo wa kuinua tani 27 itoke nje ya nchi, nilielewa usanii uko kwa anayeujua. Huyu ni msanii. Tahadhari kubwa sana kwetu ni kwamba watu wasiokuwa na aibu ya kuzungumza mambo wasiyoyajua, ni tatizo ktk jamii. Bahati mbaya huyu eti ni kiongozi wa Wizara.Habari wanabodi naandika hapa nikiwa Na masikitiko makubwa Na huyu Waziri aliyepewa wizara nyeti kabisa
Kwanza niweke wazi sijawahi mchukia Ila niliamini ni Waziri mzuri kutokana alivyofanya mambo mazuri akiwa Waziri wa Mazingira .
Ila toka amepewa wizara ya Nishati madudu yamekuwa makubwa zaidi haswa upandaji wa mafuta huku akijisifu kupunguza kodi wakati mafuta
Haya ya kulia lia anaonewa kwa sababu ya uwaziri wake au?Sema makamba anajua kuongea na kupangilia maneno..unaweza kufikiri ni kiongozi mzuri..