Kenya ukabila imeshindikana kutoaTraiblism in Kenya is a major stumbling block to democracy, so chonde chonde ndugu zetu wa kenya don't go back to traibalism and ethnicity msipige kura za kikabila pigeni kura kwa kuzingatia sifa bora ya/za Mgombea.
Kenya kuna demokrasia gani wakati uchaguzi unafanyika kikabilaBora wao wana ukabila ila wana democracy , sisi hatuna ukabila lakini wtawala wanatuchezea watakavyo kwa sababu hatuna democracy.
Halafu ukabila unaenda mwishoni kenya , jaluo na mkikuyu hawajawahi kuwa marafiki , ni safari hii ndo inatokea
Had there been any peaceful general election in Kenya? Would you kindly remind the world any general election which was peacefully held in KenyaEvery Kenyan election, Tanzanian idiots open threads and preach war against Kenya, yet every Kenyan election goes on peacefully. You're really praying for Kenya to fail. You guys are so full of hatred.
2017, 2013, 2002, 1997, 1988, 1982, 1974,1969,Had there been any peaceful general election in Kenya? Would you kindly remind the world any general election which was peacefully held in Kenya
How old are you?2017, 2013, 2002, 1997, 1988, 1982, 1974,1969,
TISS kipindi cha Magu walijazwa kama hana akili nzuri, Yule mbwa aende MOTONI kabisa.Kama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu.
Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.
Where did you leave your brain? - That's if you have it.How old are you?
GENTA.You're a damn and certified Kenyan Fool.
Every Kenyan election, Tanzanian idiots open threads and preach war against Kenya, yet every Kenyan election goes on peacefully. You're really praying for Kenya to fail. You guys are so full of hatred.
A certified Kenyan imbecileWhere did you leave your brain? - That's if you have it.
A brainless bongolala.A certified Kenyan imbecile
Tunazungumzia ukabila Kenya hapa, acha kukurupuka. Kama unataka anzisha mada inayohusu ukabila Tanganyika au Zanzibar. Wewe kamanda uchwara mbona hujielewi?..ZANZIBAR hakuna makabila lakini kila uchaguzi wanauana.
..huku TANGANYIKA ukabila na ukanda umeota mizizi tangu awamu ya 5.
..mara ya kwanza kusikia mgombea Uraisi anapiga kampeni kwa kilugha ni ktk uchaguzi wa 2020.
Ndiyo nini hiyo?Zambi hii ya ukabila itawagharimu sana
Hakuna cha mkuki wala nini.Mkuki kwa nguruwe....
Unashangaza sana. Tunajadili ukabila Kenya wewe unaanza oh Tanganyika eti Zanzibar sijui nini, wewe vipi; kama huna la kuchangia si ukae kimya tu au uanzishe mada husika?..ushenzi waliokuwa wakifanyiana wanasiasa wa Kenya miaka ya 80 na 90 ulikuja kufanyika Tanganyika kipindi cha Magufuli.
..Kwa hiyo tusiwanyooshee kidole Wakenya tukiamini kwamba Watanzania hatuwezi kutumbukia ktk mambo mabaya yanayotokea au yaliyotokea kwao.
..Zanzibar wako wakina Abdulah Kassim Hanga, Mdungi Ussi, Abdul Aziz Twala, na orodha ndefu ya wanasiasa waliopotezwa. Sasa uhalali wa kuwakosoa Wakenya tunautoa wapi?
..Au mara ngapi uchaguzi wa Kenya umevurugwa kama ilivyotokea hapa Tanzania mwaka 2020?
..Kwa kifupi Tanzania tumepoteza sifa nzuri ya kuwa taifa linaloheshimu HAKI na UTU.
Kwani mada hii inasemaje?..tunapata wapi " udhu " wa kujadili ukabila wa Wakenya wakati ukabila na ukanda unashamiri hapa Tanzania?
Ukabila ni Kama huuWaeleze hawa wenzako. Hawaelewi demokrasia ni nini. Yaani nyie mna udikteta wa Chama kimoja.