Kenya 2022 Sasa ni rasmi kuwa huko Kenya katika '2022 General Election' ni Vita kati ya Kikuyu na Luo dhidi ya Kalenjin na Luya

Kenya 2022 Sasa ni rasmi kuwa huko Kenya katika '2022 General Election' ni Vita kati ya Kikuyu na Luo dhidi ya Kalenjin na Luya

Kenya 2022 General Election
Traiblism in Kenya is a major stumbling block to democracy, so chonde chonde ndugu zetu wa kenya don't go back to traibalism and ethnicity msipige kura za kikabila pigeni kura kwa kuzingatia sifa bora ya/za Mgombea.
Kenya ukabila imeshindikana kutoa
Hadi makanisani kuna makanisa ya kikabila yakisali kikabila chao
 
Bora wao wana ukabila ila wana democracy , sisi hatuna ukabila lakini wtawala wanatuchezea watakavyo kwa sababu hatuna democracy.
Halafu ukabila unaenda mwishoni kenya , jaluo na mkikuyu hawajawahi kuwa marafiki , ni safari hii ndo inatokea
Kenya kuna demokrasia gani wakati uchaguzi unafanyika kikabila
 
Every Kenyan election, Tanzanian idiots open threads and preach war against Kenya, yet every Kenyan election goes on peacefully. You're really praying for Kenya to fail. You guys are so full of hatred.
Had there been any peaceful general election in Kenya? Would you kindly remind the world any general election which was peacefully held in Kenya
 
Kama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu.

Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.
TISS kipindi cha Magu walijazwa kama hana akili nzuri, Yule mbwa aende MOTONI kabisa.
 
Every Kenyan election, Tanzanian idiots open threads and preach war against Kenya, yet every Kenyan election goes on peacefully. You're really praying for Kenya to fail. You guys are so full of hatred.

We are praying for a peaceful General Election in the coming August 9th 2022 Kenya election. However by God’s grace we believe a God fearing candidate will obviously clinch the Presidency,, a candidate who has not been throwing other principals under the bus, a candidate who keeps promises/covenants! The right candidate is Dr William Samuoel Ruto who is indeed a Kingmaker,he made Baba Odinga Premier, he made Hon President Kenyatta President and now it is his chance
 
Sema kwa sauti hawa WEHU ndio watachunga Kura
IMG_6366.jpg
 
..ZANZIBAR hakuna makabila lakini kila uchaguzi wanauana.

..huku TANGANYIKA ukabila na ukanda umeota mizizi tangu awamu ya 5.

..mara ya kwanza kusikia mgombea Uraisi anapiga kampeni kwa kilugha ni ktk uchaguzi wa 2020.
 
..ZANZIBAR hakuna makabila lakini kila uchaguzi wanauana.

..huku TANGANYIKA ukabila na ukanda umeota mizizi tangu awamu ya 5.

..mara ya kwanza kusikia mgombea Uraisi anapiga kampeni kwa kilugha ni ktk uchaguzi wa 2020.
Tunazungumzia ukabila Kenya hapa, acha kukurupuka. Kama unataka anzisha mada inayohusu ukabila Tanganyika au Zanzibar. Wewe kamanda uchwara mbona hujielewi?
 
Jamii yoyote inayoendekeza ukabila ni uncivilized.

Wakenya ni uncivilized hawana tofauti na sokwe.
 
..ushenzi waliokuwa wakifanyiana wanasiasa wa Kenya miaka ya 80 na 90 ulikuja kufanyika Tanganyika kipindi cha Magufuli.

..Kwa hiyo tusiwanyooshee kidole Wakenya tukiamini kwamba Watanzania hatuwezi kutumbukia ktk mambo mabaya yanayotokea au yaliyotokea kwao.

..Zanzibar wako wakina Abdulah Kassim Hanga, Mdungi Ussi, Abdul Aziz Twala, na orodha ndefu ya wanasiasa waliopotezwa. Sasa uhalali wa kuwakosoa Wakenya tunautoa wapi?

..Au mara ngapi uchaguzi wa Kenya umevurugwa kama ilivyotokea hapa Tanzania mwaka 2020?

..Kwa kifupi Tanzania tumepoteza sifa nzuri ya kuwa taifa linaloheshimu HAKI na UTU.
Unashangaza sana. Tunajadili ukabila Kenya wewe unaanza oh Tanganyika eti Zanzibar sijui nini, wewe vipi; kama huna la kuchangia si ukae kimya tu au uanzishe mada husika?
 
..tunapata wapi " udhu " wa kujadili ukabila wa Wakenya wakati ukabila na ukanda unashamiri hapa Tanzania?
Kwani mada hii inasemaje?

Nimeshakuambia kama unataka tujadili hayo unayoyataka basi anzisha mada husika, wewe unang'ang'ania tujadili vitu vilivyo nje ya mada. Mbona unajifanya huelewi?
 
Back
Top Bottom