YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kenya ukabila imeshindikana kutoaTraiblism in Kenya is a major stumbling block to democracy, so chonde chonde ndugu zetu wa kenya don't go back to traibalism and ethnicity msipige kura za kikabila pigeni kura kwa kuzingatia sifa bora ya/za Mgombea.
Hadi makanisani kuna makanisa ya kikabila yakisali kikabila chao