DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Una miaka Mingapi??Ngoja tuone unachobisha nini maana mwaka wa tatu sasa bado magufuli anaongoza taifa kwa kauli na hotuba zake. Magufuli haters kina kipara bado wanapambana nae huku wakiabika tu mbele ya umma wa wananchi.
Sisi tunajua ni COVID, kama una udaku mwingine huo utajua ww.Nani kakudanganya ni COVID-19 ndio iliyomuua? [emoji41]
Sasa ilikuaje? Ni aina gani ya swali umeuliza mkuu! Mbona limekaa kiumbeya umbeya!Kumbe? Sasa ilikuaje akashindwa wasweka ndani majizi ya mali za CCM? Au waliotajwa ripoti ya makinikia?
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.Kumbuka huyu ana siku maalum. Lakini mwamba JPM pamoja na siku ya kifo chake kuingizwa mambo mengine ila bado anaishi mioyoni mwa watu. Ipo siku ukweli wa kifo chake utawekwa wazi! Tukazane tu na maombi
Tuliona alivyopora 200b kutoka kwenye mfuko wa korosho, hakutosheka akatuma wanajeshi kununua korosho za wakulima kwa shuruti. Na tuliona nguvu yake kubwa kwa lile kundi lake la watekaji maarufu kama watu wasiojulikana.Sasa ilikuaje? Ni aina gani ya swali umeuliza mkuu! Mbona limekaa kiumbeya umbeya!
ulikuwa huoni anachokifanya pindi yupo hai?
unataka nitumie nguvu kukueleza?
Hiyo ni sehemu ya kazi pia.Tuliona alivyopora 200b kutoka kwenye mfuko wa korosho, hakutosheka akatuma wanajeshi kununua korosho za wakulima kwa shuruti. Na tuliona nguvu yake kubwa kwa lile kundi lake kwa watekaji maarufu kama watu wasiojulikana.
ndio maana ya "Watu Wazuri Hawafi "Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.
Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana ya nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgawo wa umeme tungekuwa tunausikia tu.
Treni Dar Dodoma ingekuwa tayari. Upigaji wa hera za umma ungekuwa mdogo sana.
Hadi 2030 tutasikia mengi.
Jana watu walilia, mkuu wa majeshi mtaafu alilia.
Amenyooka yeye.Hiyo ni sehemu ya kazi pia.
Wakati mwingine ukombozi damu inamwagika!
Wengine kusikia lazima damu ziwatoke masikioni.
Leo huo upinzani umelifanyia nini taifa mbona ni wachumia matumbo tu! Ulitegemea watu wa namna hiyo wafanyweje?
Huwezi kutaka maendeleo ubaki unawachekea watu wajinga kama hao unaowatetea! Lazima uonyeshe udume kwelikweli.
Shukuruni sana Mungu alimchukua mapema! Hakika mngenyooka tu.
Hakika!Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.
Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana ya Nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgawo wa umeme tungekuwa tunausikia tu.
Treni Dar Dodoma ingekuwa tayari. Upigaji wa hela za umma ungekuwa mdogo sana.
Hadi 2030 tutasikia mengi.
Jana watu walilia, mkuu wa majeshi mstaafu alilia.
Nimeuliza specifically... kamati ya Bashiru ilitaja mali zote zilizokwapuliwa pamoja na majina ya wahusika waliokua zaidi ya 500. Kwanini kesi ya jinai haipelekwi mahakamani?Sasa ilikuaje? Ni aina gani ya swali umeuliza mkuu! Mbona limekaa kiumbeya umbeya!
ulikuwa huoni anachokifanya pindi yupo hai?
unataka nitumie nguvu kukueleza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anawezaje kufa yule mwamba!
Kile killikuwa kichwa haswaa! Wajinga wajinga walinyooka.
Yule dingi noma sana. Akisema sitaki ujinga anamaanisha na zile kauli zake kama umevurunda.
Unaweza kuzimua ukisia sauti yake.
Mola amupe pumziko la milele Jiwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha Nape Nnauye alivyo tokwa na jasho kumfata ikulu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee wizo huogopiiii?Samia amekufa akiwa hai
Tunamkumbuka kwa mazuri yake that's why huko X picha za JPM tu ndio zimezagaa haya huyo Hitler wako unamjua hata sura!?Hata Adolph Hitler amegoma kufa tangu mwaka 1945.
Mijitu miuaji, mijitu midhalimu, mijitu mikatili tutaijadili sana ili taifa letu lisiingie tena kwenye makosa ya kuleta SHETANI kuwa Rais wa nchi yetu pendwa
Mfumo wa nchi hii.. huko mahakamani ni Bure kabisa.Nimeuliza specifically... kamati ya Bashiru ilitaja mali zote zilizokwapuliwa pamoja na majina ya wahusika waliokua zaidi ya 500. Kwanini kesi ya jinai haipelekwi mahakamani?
Niambie kwanini alishindwa? Ilihali mnamsifia alinyoosha mafisadi
Akili zako ni ndogo sana .... HAKUNA KAMA JPM ALIKUTA NCHI IMECHAFUKA KIFISADI ...MFUMO MZIMA WA SERIKALI ULIKUWA CHINI YA RAIA FEKI NA MAFISADI..TOFAUTI NA NYERERE ...NYERERE KAPEWA NCHI IKIWA SAFI SANA KWENYE NYOYO ZA WATU.Kiongozi aliyegoma Kufa kwa miaka 20 ni Nyerere Peke yake
Tupo wengi ndioSukuma gang empire don't include majority of people please.