DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Vipi kuhusu Mwinyi aliyekuta nchi imekufa kabisa???Akili zako ni ndogo sana .... HAKUNA KAMA JPM ALIKUTA NCHI IMECHAFUKA KIFISADI ...MFUMO MZIMA WA SERIKALI ULIKUWA CHINI YA RAIA FEKI NA MAFISADI..TOFAUTI NA NYERERE ...NYERERE KAPEWA NCHI IKIWA SAFI SANA KWENYE NYOYO ZA WATU.
Itoshe tu kusema, RIP our beloved Dad, JPM.Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.
Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana ya Nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgawo wa umeme tungekuwa tunausikia tu.
Treni Dar Dodoma ingekuwa tayari. Upigaji wa hela za umma ungekuwa mdogo sana.
Hadi 2030 tutasikia mengi.
Jana watu walilia, mkuu wa majeshi mstaafu alilia.
Na wewe mbowe ukifa tutakukumbuka kwa lipi au kwa kumiliiki chama na kuongoza wapumbavu??Punguzeni sifa za kijinga. Mbona Jana wamefanya kuadhimisha siku yake ya kufa chato?.
Basi Nyerere tumlinganishe na Mbowe maana mbowe yupo tokea vyama vingi vianze yeye ni mwenyekitiMpeni Nyerere heshima yake basi. Kumlinganisha Nyerere na huyo kichaa sio haki
Kwa hiyo unamaanisha aliuaMwisho wa siku Nape ndiye aliyeshinda vita lakini....amerudi kuwa Waziri na Mbunge
Na ukoo wenu unafuraha baada ya Baba yako mlawiti watoto kufa mdomo waziTunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Jpm kagoma kufa , mwaka wa 3 sasa,Kiongozi aliyegoma Kufa kwa miaka 20 ni Nyerere Peke yake
Una hoja usikilizweJpm kagoma kufa , mwaka wa 3 sasa,
Ulitaka nae agome kwa miaka 20 had sasa?
Ufisadi mwingi ni sasaVipi kuhusu Mwinyi aliyekuta nchi imekufa kabisa???
Mkuu Vipi kuhusu Sasa hivi na kipindi Magufuli anapokea nchi..?
Kupi kuna ufisadi mwingi
SafiUfisadi mwingi ni sasa
Huna hoja, naona kila uzi umekopi hii na ku paste kila mahali. Hii ndo aina ya vijana wanaoaminiwa kuitetea ccm mitandaoni. Martin mmoja wa Twitter ni vijana wote wa ccm humu Jf pamoja na Paschal 200, Lucas 7900, etwege 790×10⁶ kiufupi vijana watetezi wa ccm mitandaoni ni wapumbavu na hawana hojaNdiyo maana Chadema ni mazwazwa mnapinga hadi ujenzi wa bwawa la umeme ambao ni kwa ajili yenu wenyewe.
Kucha kuombaomba tu walichofanyia kazi wanaume wenzenu,
. Lema na Lisu Familia zao wanalishwa na wazungu.
Kuna watu mmesoma ila mmesomea ujinga. Kwani Samia aliingia na Ilani yake au ileile ya 2020? Ataanzishaje miradi yake nje na iliyoainishwa kwenye Ilani ya chama 2020-2025.Samia hana ujanja. Inabidi tu amalizie miradi ya Jiwe ndio aanze kuwaza mengine.
Kama hujasoma shule utamjuaje Adolph Hitler? Ungekaa kimya tusingejua kama wewe ni mweupe kichwaniTunamkumbuka kwa mazuri yake that's why huko X picha za JPM tu ndio zimezagaa haya huyo Hitler wako unamjua hata sura!?
PointKuna watu mmesoma ila mmesomea ujinga. Kwani Samia aliingia na Ilani yake au ileile ya 2020? Ataanzishaje miradi yake nje na iliyoainishwa kwenye Ilani ya chama 2020-2025.
Anataka kuunga vitu viwili tofautiTunamkumbuka kwa mazuri yake that's why huko X picha za JPM tu ndio zimezagaa haya huyo Hitler wako unamjua hata sura!?
Ukiitwa mbele za Mungu utaweza kuthibitisha au unamfanyia mzaha Mungu?Akina Aggrey Mwanri, Prof Kabudi nanAlhad na Kangi Lugora walikuwa wanamuita "Mheshimiwa mungu" naye alikuwa hakatai.
Mwinyi ndiyo kaua nchi ....hapa tz marais waisiharamu ndiyo wanao hua nchi yetu siku zote kisha wanasingizia wakristo unajua nyerere kaondoka madarakani dola moja ya marekani ilikuwa sawa na sh ngapi? Je unajua nini kilitokea baada ya mwinyi kushika nchi kuhusi shilingi yetu ....mcheki samia naye bei ya vitu zinakwenda juu tu.Vipi kuhusu Mwinyi aliyekuta nchi imekufa kabisa???
Mkuu Vipi kuhusu Sasa hivi na kipindi Magufuli anapokea nchi..?
Kupi kuna ufisadi mwingi