Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

Nyerere aliacha nchi ikiwa na uchumi Mbovu sana..
Na ili kunusuru Uchumi aling'atuka October 1985..

Kutoka mwaka 1974 mpaka 1984, GDP ya Tanzania ilikuwa inakuwa kwa Rate ndogo sana ya 2.6% per year wakati population Ilikuwa ikiomgezeka kwa kasi sana kwa rate ya 3.4% kila mwaka ( kasome kitabu cha "Tanzania; the end of ujamaa". The Economist. Vol. 7460 August 1986. p. 35)

Naendelea......

uchumi wa nchi kutoka vijijini na Mijini uliPoromoka sana kipindi hicho japo Nyerere alianzisha sheria ya Tanzania's minimum wage laws..

Furthermore, the currency was overpriced, basic goods were scarce, and the country had over three billion dollars of foreign debt. Kwahyo hapa ndo unaita nchi ilikuwa Bora?


Agricultural production was low, na hata general opinion was that Nyerere's Ujamaa socialist policies had failed economically.

Kama unakumbuka kuhusu Sera ya Ujamaa ilikuwa ni ku "nationalize" major production, the forced re-villagization of the rural population into communal farms, and the banning of any opposition parties.

Nyerere's supporters were opposed to involving the International Monetary Fund (IMF) and World Bank in domestic economic reforms, believing it would cause instability and conflict with their socialist values.
Also, Tanzania's relationship with the IMF had been strained since Nyerere's government failed to meet the loan conditions from a 1980 financial package agreement.

Na ndo nchi ikaendelea kuwa ngumu Dollar ikapanda watu wakasikika wakilia..

Mwinyi ali negotiate na Kuweka sawa Tofauti na IMF Na World Bank na hatimaye Tanzania ilipata mikopo na maisha yakaanza kuwa Simple tifauti na yalivyokuwa..
SHOULD I CONTINOU TO give you a lecture Mr lwiva?
 
Nyerere anachagizwa na mijadala ya kitaifa. Kigoda cha nyerere, masomo shuleni, Nyerere day..n.k

Ngoma JPM - Hakuna cha serikali wala cha nini..ni siku zote tu, haiishi siku hujaona uzi wa JPM.
Nyie mnataka uongozi kwa mgongo wa huyo mtu, lkn hamta pata
 
We ndio umekufa uko naye ahera sisi tumeshamsahau siku ile ile alozikwa
 
Kumbuka huyu ana siku maalum. Lakini mwamba JPM pamoja na siku ya kifo chake kuingizwa mambo mengine ila bado anaishi mioyoni mwa watu. Ipo siku ukweli wa kifo chake utawekwa wazi! Tukazane tu na maombi
Kumuwaza Marehemu hakuleti maendeleo ya nchi, mnatuchelewesha
 
Kwakweli amegoma kufa !
Yule alikuwa ni mpango wa Mungu kuwafungua macho Watanzania !

Alisemaga Ndugu zangu Nchi yetu imechezewa sana !
 
Hiyo ndio maana halisi ya Jiwe au Chuma, ukitaka political mileage ni lazima umtaje Hayati JPM iwe kwa wema au kwa ubaya. Pumzika pema shujaa. Nafasi ya mama ni jikoni, sebule ina wenyewe
[emoji16][emoji16]
 
Jitahidi kuwa mvumilivu kwenye ukweli.
🤣🤣🤣🤣 ukweli upi unaozungumzia kama kifo tutakufa wote hata mimi ba wewe ni marehemu watarajiwa

Ila tuombe mimi na wewe tusife kifo cha aibu kama Baba yako aliekufa mdomo na mat*ko wazi
 
Kama unamuhitaji mfuate alipo
 
Kiongozi aliyegoma Kufa kwa miaka 20 ni Nyerere Peke yake
kaka huyo nyerere sijui mnamchukuliaje ila ndiye kiongozi ambaye amefanikisha hii nchi wengi kuwa mazezeta na wanasiasa wanajifanya kumpa bega ili kupata pop[ulality sababu amejengewa picha hiyo ni jamaa ambae hakuwa na future na muelekeo sahihi.
 
Nibora kuwa na uchumi mbovu kuliko kuligeuza taifa kuwa genge la wahuni wa wafisadi nyerere kaacha nchi safi sana ...kama nyerere alishindwa kiuchumi siyo kosa kosa ni kuigeuza nchi kuwa pango la mafisadi na wahuni
..pia uwezo wako kiakili ni mdogo sana ukumbuke mabeberu usipo yasujudia na kupingana nayo yatakufanyia figisi ...nyerere alipingana na unyonyaji wa mabeberu africa nzima na mengine aliyaua kwa njia mbalimbali kama kuunda majeshi ya ukombozi africa..pia ukumbuke vita vya uganda ..pia ukumbuke nyerere kapokea nchi mikononi mwa wakoloni hata asilimia zaidi 85 ya watz walikuwa awajui hata kusoma na kuandika...
 
Magufuli atabakia kuwa Rais mwenye uthubutu katika historia ya nchiii na siyo karne wala miongo
 
Nyerere anachagizwa na mijadala ya kitaifa. Kigoda cha nyerere, masomo shuleni, Nyerere day..n.k

Ngoma JPM - Hakuna cha serikali wala cha nini..ni siku zote tu, haiishi siku hujaona uzi wa JPM.
Anatajwa kwa mabaya yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…