Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
-
- #221
Kwahiyo mi ni muhuni wa kuokoa ndoa za wayuMpelekee moto tu huenda ukaokoa jahazi la ndoa yake.
Hapo ndani kwake kuna fukuto, na wewe unaweza kumtuliza na akalea watoto wake.
Hili ni moja ya sababu ya malaya na wahuni kuwepo. Wanaokoa ndoa za watu na kubalance pale palipopungua.
Mtanipinga ila haya hufanyika kwenye jamii kisirisiri.
Ila hawa watoto mapadre huwa wanawatoa wapi...Shetani uwatumia sana mama wa chungaji kupitia roho za uzinzi kulivuruga kanisa.
Katoliki hawakuwa wajinga kutoruhusu mapadre kuoa,na siku wakiruhusu tu kanisa lazma lisambaratike kama makanisa ya waliooa.
Huwezi zozana na mkeo usiku kucha then asubuhi uingie kuhubiri.
Sasa kama mwanamke anakusifia kwa fujo maana yake wewe ni muhuniKwahiyo mi ni muhuni wa kuokoa ndoa za wayu
Realy damshit.... nimekula buyuuu staki ujingaSasa utume nauli ya nini tena!!! ila madem wa bongo bana... Yaani mtu anakuletea mikosi, mijanaba na bado anakukosanisha na Mungu wako na bado unaingia gharama kuyatafuta yote hayo
Gaddemit
Ndo mana alitaka kujua nina mke au laah sio kwamba nimekaa kihuniSasa kama mwanamke anakusifia kwa fujo maana yake wewe ni muhuni
Mapadre wote?Ila hawa watoto mapadre huwa wanawatoa wapi...
Kwamba ukikaza wanatoa vizuri tu hahahaaa..
Kwani apo Mrs wachungaji wote..?Mapadre wote?
Ukitoa miongozo vizuri, wanaingia kwenye kumi na nane...Kwamba ukikaza wanatoa vizuri tu hahahaaa..
Na wana nyeg kama wengine 🤠!Ukitoa miongozo vizuri, wanaingia kwenye kumi na nane...
Ni binadamu kama binadamu wengine...
Haswaaaa!!Wa Sinagogi Ya Masanja
Hapo ni show tu ndio inahitajikaHuo ndio ukweli binafsi siku tukigombana tukasolve hio show ntakupa ni kama naua mwizi ukitoka hapo unanisalimia kwakupiga goti... ila all jn all mchungaji amekaa kiroho mnooo sijiu nimwambie achangamke??
KabisaWengi hawajui hilo
Kuna mahali kota huwa tunajifichakaga tukiwa tunachezea dyudyu hahahha au kuna guest zile za jirani kama unaenda sokono hahahMwenyewe nimekulia koto basi videmu vyote vyakota nilipitia si unajua ukiwa hendisamu wanajileta wenyewe [emoji16][emoji16]
Ila wewe mzinzi saanaKuna mahali kota huwa tunajifichakaga tukiwa tunachezea dyudyu hahahha au kuna guest zile za jirani kama unaenda sokono hahah
Nipo humu toka 2009 , hebu jaribu kunitoa shwainUnataka vita na mm?? Ntakutoa humu fasta
Usitake kunambia ni mke wa yule bwana mtangazaji[emoji1787][emoji1787]Waumini wa feel free Church mna mapepo sana, ebu mwacheni mama Mchungaji