Sasa ni wakati muafaka elimu ya chuo kikuu itolewe bure, wanafunzi shule za msingi na sekondari wale chakula cha mchana bure, maana fedha ipo.

Sasa ni wakati muafaka elimu ya chuo kikuu itolewe bure, wanafunzi shule za msingi na sekondari wale chakula cha mchana bure, maana fedha ipo.

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Habari!
Huhitaji kuwa na shahada ya taxation au uhasibu kujua kuwa pesa itakayokusanywa kupitia miamala ya simu na vocha kwa mwaka mmoja ni matrilioni.
Serikali inapaswa kuboresha sekta ya elimu kwa kuondoa ada au kuwalipia ada wanafunzi wote wa chuo kikuu huku ikiwapa angalau mlo mmoja wanafunzi wa primary na sekondari.
Haijalishi kuna ajira au la cha muhimu ni kuelimisha idadi kubwa ya Watanzania.
 
Back
Top Bottom