Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Miaka ya hivi karibu timu zetu hizi mbili zimekuwa kwenye kiwango angalau kinachoridhisha kwenye michuano ya kimataifa.
Pamoja na mafanikio hayo tumejikuta Usimba na Uyanga unatupumbaza kiasi ambacho tunashindwa kungamua kuwa mshindani wetu mkuu kwenye soka kwa sasa ni mwarabu pekee.
Sasa ni wakati wa kuamka tuache ushabiki maandazi sijui mwakarobo sijui kufa kiume, sijui utopolo huu ni ujinga mtupu.
Tuunganishe fansbase siku mwarabu akija hapa kwa Mkapa achapike kwa vibe la mashashabiki, viongozi wetu, wanasiasa, viongozi wa serekali tuwe kitu kimoja kuzipa hamasa timu zetu.
Na hili linawezekana kama viongozi wetu akiamua kufanya vivyo.
Mwaka jana mwarabu kachukuwa CCL na C Confd, hivi super cup ni zile zile sasa ni wakati wa kujipanga kimkakati kama taifa kupambana na mwarabu.