Sasa ni wakati wanaCCM tujitafakari na kuchukua hatua. Je, chama chetu ni mali ya wakulima na wafanyakazi? Au ni mali ya wajanja wachache?

Bila hata ya kutumia hadubini sasa ndio wakati wa kuchambua pumba na mchele.

Chama chetu kilianza na madhumuni mazuri kabisa ya kuwa chama cha kuwatumikia watanzania ambao ni wakulima na wafanyakazi.

Ndio ilikuwa dhima kuu kuleta maendeleo kwa manufaa ya kila mtanzania.

Hakikuwa mali ya wajanja wachache huko nyuma ambao wao ni kushibisha matumbo yao.

Sasa tutafakari na kufanya tathimini juu ya CcM ya leo. Ambayo ni mali ya familia ya wajanja wachache.
Chama cha Wakulima na Wafanyakazi
 
Mkuu 'Idugunde',
Samahani sana, watu kama wew, huko ndani ya chama kama bado mpo, tukiwahesabu hamfiki hata kumi. Sana sana tutawaona labda watu, tena wazeezee, kama Warioba, na nani tena, sijui!

Hicho chama siku nyingi sana kimekuwa ni chama cha maslahi, chama cha ,"huyu ni mwenzetu".

Kama unadhani Magufuli, labda, kuwa alikuwa na nia ya kukiongoza chama hicho kukirudisha kwenye misingi yake, basi njia/mbinu zake hazikuwa sahihi. Matokeo yake sasa, ndiyo haya. Wamerudi jamaa na njaa zao kali sana, kwa KASI MPYA..., na nini tena? "ARI MPYA"

Sasa sijui watu kama wewe mtaanzia wapi tena kuyasema hayo ya "CHAMA CHA WAKULIMA NA WAFANYA KAZI"!

Inabidi tu, tuwape pole yenu, huku nasi huku 'ukulimani' tukiendelea kukumbuka na kusononeka juu ya chama chetu kilichoporwa.

Sana sana tunachoendelea kuambulia siku hizi ni hayo mashati na kanga za njano na kijani. Hizo ndizo kifuta jasho chetu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakulima na wafanyakazi tulibahatika kukomboa chama chetu lakini kwa sababu sisi sio wajanja tumewarudishia.

Pombe Magufuli kumpa umakamu yule Mama asiyemfahamu lilikuwa ni kosa kubwa la kizezeta.

Tunapaswa kukuza wakulima na wafanyakazi wajanja.
 
Bila hata ya kutumia hadubini sasa ndio wakati wa kuchambua pumba na mchele.

Chama chetu kilianza na madhumuni mazuri kabisa ya kuwa chama cha kuwatumikia watanzania ambao ni wakulima na wafanyakazi.

Ndio ilikuwa dhima kuu kuleta maendeleo kwa manufaa ya kila mtanzania.

Hakikuwa mali ya wajanja wachache huko nyuma ambao wao ni kushibisha matumbo yao.

Sasa tutafakari na kufanya tathimini juu ya CcM ya leo. Ambayo ni mali ya familia ya wajanja wachache.
Ni ukweli mchungu kwamba haya mabadiliko ni kwa ajili ya mama kujijenga kuelekea 2025. Anajua alikua hakubaliki na waliokuwepo so she is trying to hold the grip. Ni bahati Mbaya pia CCM kwa miaka hii mitano ya mwisho imeshindwa kujinjenga kwa hoja na ushawishi. Chama kilitegemea wahuni kama musiba kukitetea na ubabe kama wa mwenda zake ili kibaki madarakani. Katika hilo mama anajaribu kutuhadaa kwa kuleta watu wa mlengo wa kati kama kinana. Na kama umemsikiliza kinana leo ni kama CCM imeamua kujizaa upya katika uso wa nje. Kuonyesha kwamba sasa wataendesha siasa tofauti na mwendazake.

Yote kwa yote CCM siku zote hua na wenyewe. Ilikua sukuma gang sana imerudi pwani. Kama CCM ya sasa haipo upande wako subiri zamu yako. Ni nani alijua kua leo Polepole na Kakurwa watakua wanautazama mkutano kwa tv au kukaa vitu vya nyuma?. Dunia duara.
 
Mh?
 
Mkuu 'Idugunde',
Samahani sana, watu kama wew, huko ndani ya chama kama bado mpo, tukiwahesabu hamfiki hata kumi. Sana sana tutawaona labda watu, tena wazeezee, kama Warioba, na nani tena, sijui!

Hicho chama siku nyingi sana kimekuwa ni chama cha maslahi, chama cha ,"huyu ni mwenzetu".

Kama unadhani Magufuli, labda, kuwa alikuwa na nia ya kukiongoza chama hicho kukirudisha kwenye misingi yake, basi njia/mbinu zake hazikuwa sahihi. Matokeo yake sasa, ndiyo haya. Wamerudi jamaa na njaa zao kali sana, kwa KASI MPYA..., na nini tena? "ARI MPYA"

Sasa sijui watu kama wewe mtaanzia wapi tena kuyasema hayo ya "CHAMA CHA WAKULIMA NA WAFANYA KAZI"!

Inabidi tu, tuwape pole yenu, huku nasi huku 'ukulimani' tukiendelea kukumbuka na kusononeka juu ya chama chetu kilichoporwa.

Sana sana tunachoendelea kuambulia siku hizi ni hayo mashati na kanga za njano na kijani. Hizo ndizo kifuta jasho chetu.
Hoja hapa mezani ni CcM ya wafanyakazi na wakulima. Habari za hayati Magufuli zinatoka wapi?
 
Kwa hiyo pale yule Mwendazake alipokuwa anaweka bhaghosha wenzako na mamluki wasaliti toka upinzani ukafurahii.

Acha chama kirudi kwa wenye mapenzi ya chama na sio nyie mamluki.
 
Hoja hapa mezani ni CcM ya wafanyakazi na wakulima. Habari za hayati Magufuli zinatoka wapi?
Usighafilike mkuu, huu ni mjadala mzuri, tena umeleta mada nzuri kabisa. Huwezi kuizungumzia CCM kwa upana wake ukaacha kumzungumzia Magufuli.
Najuwa wewe ni kipenzi cha Magufuli, lakini ninakuomba usome kwa makini uelewe kinachosemwa humu kuhusu hilki chama chenu, ambacho sote kwa nyakati mbalimbali tuliwahi kukipenda.
 
Stick to the point young boy
 
Bila hata ya kutumia hadubini sasa ndio wakati wa kuchambua pumba na mchele.

Chama chetu kilianza na madhumuni mazuri kabisa ya kuwa chama cha kuwatumikia watanzania ambao ni wakulima na wafanyakazi.

Ndio ilikuwa dhima kuu kuleta maendeleo kwa manufaa ya kila mtanzania.

Hakikuwa mali ya wajanja wachache huko nyuma ambao wao ni kushibisha matumbo yao.

Sasa tutafakari na kufanya tathimini juu ya CcM ya leo. Ambayo ni mali ya familia ya wajanja wachache.
Tuanzishe chama chetu mkuu

Hivi vyama vilivyopo hatuna chetu

Tutabakia kupiga kelele tu malalamiko fc

Ova
 
Back
Top Bottom