Sasa ni wakati wetu Zanzibar kuitawala Tanganyika

Tanzania haitawaliwi inaongozwa naona kuna watu wana fikra za kiarabu. Tawala ni neno la kiarabu hatuna tawala sisi
Mbona mmeunda mpaka wizara inaitwa eti utawala Bora. Kwa nini haikuitwa wizara ya uongozi bora
 
Kwa akili zako Zanzibar ikisha itawala Tanzania bara ndiyo haitakuwa kisiwa tena?
 
Kuitawala tanganyika kupitia huyo rais aliyebebwa na katiba? Kweye kura hapati hata theluthi..
Wewe sukuma gang tuliza mshono huo mama Samia ndiyo rais wa JMT.

Hutaki endelea kulinda kaburi.
 
Hii ni inchi ya kidemokrasia inayofuata Katiba.

Kama kuna mtu aliongoza kwa kutofuata matakwa ya sheria mama (Katiba) huo ni upotovu tu.

Awamu ya 6 imeingia kwa mujibu wa Katiba na tunaona sote (Katiba ya inchi) ndiyo yenye kushika hatamu.

Unayoyataka wewe kama ulivo ya orodhesha sidhani kama itakuwa ni utawala wa sheria (haki) Kwa inchi yetu.

Usitupeleke huko tafadhali.

Acha KAZI IENDELEE.
 

Naunga Mkono hoja ,ni wakati wa zanzibar kufaidi matunda ya muungano,Serikali ya Muungane iwalipe trilioni zaonne kwanza wazenji.
 
Hayo yote uliyotaja yamejengwa kwa pesa za kodi za Tanganyika,hakuna shiringi kutoka Zenj,UDOM imejengwa na pesa ya NSSF,hakuna shiringi ya ZSSF,
Hata nyie mliijenga poa tu,anzeni na kukarabati uwanja wa amani,
 
Chief, inaitwa ZRB, huyo mleta mada si mzanzibar, ni mataga wanaendelea na ile mikakati yao ya kueneza chuki na taharuki dhidi ya mama.
 
Wewe sio Mzanzibar... Umeweka bandiko hili kusudi ili kuamsha hisia za chuki dhidi ya Mama yetu! Bila shaka wewe ni Sukumagang au Tagas, hakunaga mzanzibar mwenye ujasiri wa kuharibu au kunajisi jina la Mwenyezi Mungu kama ulivyofanya wewe hapo!
Huyu ni mataga.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sawa lakini hilo bwawa litachimbwa wapi maana litachukua nusu ya nchi ya Zanzibar.
Kingine hamtaki mbuga ya wanyama kama ya burigi chato,pia hamtaki msitu kama wa Silayo?
 
Yote hayo yakijengwa Zanzibar itakuwa lmejaa. Watu wataishi wapi?
Kisiwa cha kuzunguka kwa baiskeli na kuwakusanya watu wake kwa filimbiπŸ˜‚πŸ€£
 
Sawa lakini hilo bwawa litachimbwa wapi maana litachukua nusu ya nchi ya Zanzibar.

Julius Nyerere Hydropower Station​

The 134 metres (440 ft) arched, concrete dam is expected to create a reservoir lake, 100 kilometres (62 mi), in length, measuring 1,200 square kilometres (460 sq mi), with 34,000,000,000 cubic metres (1.2Γ—1012 cu ft) of water.

Zanzira is an island about 85 kilometres (53 mi) long and 39 kilometres (24 mi) wide, with an area of 1,464 km2 (565 sq mi)

Eneo lililopo 1464 less eneo la bwawa 1200 wanabakia na 264πŸ˜…πŸ˜‚πŸ€£
Hapo bado hatujawapa Burigi National Park
 
Zanzibar ni koloni la Tanganyika hadi Wazanzibari watakapoamka na kuikataa CCM
 
Wewe sio Mzanzibar... Umeweka bandiko hili kusudi ili kuamsha hisia za chuki dhidi ya Mama yetu! Bila shaka wewe ni Sukumagang au Tagas, hakunaga mzanzibar mwenye ujasiri wa kuharibu au kunajisi jina la Mwenyezi Mungu kama ulivyofanya wewe hapo!
πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜‚πŸ€£
Kuna uwezekano hapa tukawa tunashambuliana wabara kwa wabara
 
Acha uchochezi mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…