Sasa ni wakati wetu Zanzibar kuitawala Tanganyika

Tanzania haitawaliwi inaongozwa naona kuna watu wana fikra za kiarabu. Tawala ni neno la kiarabu hatuna tawala sisi

Zanzibar historically has been a divided place, ethnically, socially and racially. Hii ni ya legacy iliyogoma kuondoka ya wakoloni.
Marehemu Abdulahaman Babu aliporejea na kushiriki uchaguzi wa Mwaka 1995, alishangazwa sana kuona mambo bado ni yale yale ya miaka ya 50 na 60, wakati waingereza wanacheza karata zao juu ya nani anastahili Kupewa madaraka ya uongozi.
Ni wakati muafaka sasa wa kuwekeza kwenye mambo ya kiuchumi ili watu waanze kusahau siasa na kujenga nchi ambayo wote wataifurahia
 
Nyie itawaleni tu haina shida, angalizo tu msije mkaanza kulialia kwamba zanziberi inaporwa mamlaka yake na Tanganyika....
 
Hawawezi, sababu kuu hawana umoja...wakifika dodoma tu maazimio yao yote kwisha....huwa yanaishiaga chalinze.

Ref: Bunge la katiba.
 
Wewe ni Sukuma Gang. Nyie ndiyo mnampiga vita Samia kwani mliyetaka akae hapo kinyume na Katiba ya JMT amepigwa chini. Hiyo vita ni ya kwenu wenyewe CCM msitafute mchawi toka Chadema. Mtake msitake Samia ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu na ndiye Mwenyekiti wa CCM Taifa, hamtaki rudini kwenu Burundi mbwakoko nyie. Mitano tena kwa Samia.
 
CHADEMA mama amesha anza kuwashitukia mnatamani CCM isambaratike,kamwe hili halitafanikiwa.
Hamna sera tena issue mluyojipa umaarufu ya ufisadi haipo tena Mwendazake aliishughulia,sasa mnamvia mama.Mtasubiri sana.
 
Kama mzee mwinyi ni mlowezi na raisi wa Sasa je ni mzanzibari
 
Hayo yote uliyotaja yamejengwa kwa pesa za kodi za Tanganyika,hakuna shiringi kutoka Zenj,UDOM imejengwa na pesa ya NSSF,hakuna shiringi ya ZSSF,
Hata nyie mliijenga poa tu,anzeni na kukarabati uwanja wa amani,
Ww utakua umerogwa
 
Duhh kw akili hizi naionea huruma familia yko
 
sio chadema, ni vibaraka wa magufuli wasukuma ndo wanaleta upumbafu.
 
Kule uliza mashekh co wanamuziki, hawaendekez ujinga huo
 
Mama kazi unayo na tunakuombea Mungu akusaidie!! Mtoa uzi naye ana matarajio yake kwa mama na mama hawezi kuyadharau!
 
Tanzania haitawaliwi inaongozwa naona kuna watu wana fikra za kiarabu. Tawala ni neno la kiarabu hatuna tawala sisi
Naomba kujua neno gani la kiarabu ambalo ni mtawala.

Naomba uweke hapa hilo neno.

Lakini pili ni maneno mangapi ya kiarabu tumeyachukua na kuyaleta kwa kiswahili mpaka leo ?

Hili neno ni kiarabu unalitumia alafu unakataa kutumia neno "utawala " kwa kudai la kiarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…