Sasa ni wakati wetu Zanzibar kuitawala Tanganyika

Kijiji cha mwendazake peke yake kule chato ni kikubwa kuliko Zanzibar.
 
Tanzania haitawaliwi inaongozwa naona kuna watu wana fikra za kiarabu. Tawala ni neno la kiarabu hatuna tawala sisi
Mkuu achana na hawa walalie bofulo na urojo, kubishana nao ni kupoteza muda wako jua hawa kwao wanaamka saa nne asubuhi wakati wenzao tayari saa 12 tuko mashambani au maofisini tukiwajibika.
 
Kijiji cha mwendazake peke yake kule chato ni kikubwa kuliko Zanzibar.
Mbunge wa zamani wa S'wanga alisema hata ukipiga filimbi au ngoma utawakusanya wote, mambo mengine basi tyuu...
 
Hujambo jamaa yangu! wavivu wa kusoma haiwahusu,nyie ni wazee wa kukimbilia conclusion bila ku analyse mambo.
Nimesoma yote Mkuu! Ngoja nikuulize, kwahiyo wewe unaunga kwamba sasa Tunatawaliwa na wazanzibar? Kwamba A.H. Mwinyi hakua chaguo la wazanzibar tuliwabambikia tu?
 
Ndoa ya mashoga?
 
Nimesoma yote Mkuu! Ngoja nikuulize, kwahiyo wewe unaunga kwamba sasa Tunatawaliwa na wazanzibar? Kwamba A.H. Mwinyi hakua chaguo la wazanzibar tuliwabambikia tu?
Ali Hassan Mwinyi ,mkubwa Na mwanawe hawajawahi kuchaguliwa Na Wazanzibari.
 
Raisi Samia Suluhu Hassan yupo madarakani kikatiba na si kwa sababu ni mzanzibari!
 
Acha mzaha wewe hivyo vitu atajenga wapi zanzibar maana zanzibar ndogo haitoshi. Acha mama ashughulike na tanganyika maana ndio tanzania. Kwanza wazenj karibu wote mumehamia tanganyika.
 
Hivi kiongozi mara hii umesha sahau kwamba Zanzibar ni nchi kamili yenye Rais na serikali yake?
Kwa nini utoe pendekezo kwa nchi nyingine (Tanganyika) kuijengea Zanzibar hayo uliyo orodhesha?
Na kama mapendekezo yako yakikubaliwa kwa mujibu wa maoni yako huoni kwamba Tanganyika itakuwa sawa na muwekezaji kwa Zanzibar, na wewe ndie utakae fanyishwa kazi (mtumwa) na faida zote kwenda Tanganyika?
 
Hivyo mnavyoongea kimdebwedo mtamtawala nani
 
Alafu Zanzibar yenyewe idadi yao ni milioni moja na Laki sits tu
 
Tanzania haitawaliwi inaongozwa naona kuna watu wana fikra za kiarabu. Tawala ni neno la kiarabu hatuna tawala sisi
Usijisahaulishe neno "rais" limetoka katika kiarabu likimaanisha "mtawala!!" ni hivyo tu Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…