PreGE2025 Sasa nimeamini CHADEMA wapo serious sana na sera ya "No reforms No election". Watanzania tuwaunge mkono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tatizo lenu mnadhani sera ya katiba mpya na ya no reform no election ni sera ya chadema!!

Big NO!

Wenye mamlaka ya kuweka wakuu walitaka katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu!!Cha ajabu aliepewa dhamana akabagaza mchakato haukufanyika !!

Sasa plan B ni ipi!!?

Mbowe alifika bei angeshinda ingekua a nice ride ya watia nia na nusu mkate!

Sasa iweje!!?Kuna mtu ambae Hana Cha kupoteza ni mhanga wa katiba iliyopo. Tulimuokoa na Mungu akamsaidia akapona Ile hali na SI mwingine ni Antipas Lisu!Sasa tumsogeze tumpe support ya kutosha Ili no reform no election ndio iwe kauli mbiu kuu!!!

Ndio plan iliyopo!nilimsikia Warioba akisema"hatuwezi kurudia uchaguzi wa 2019 na 2020 Kwa katiba iliyopo"

Hamkumwelewa!!?Ni aidha uchaguzi uahirishwe Hadi katiba ipatikane au ....!!?hata mi sijui!pia ulimsikia mama akisema "serikali haipinduliwi hivyo,tutailinda katiba"ulidhani alikua anamwambia nani kama yeye ndio amiri jeshi mkuu!!?alikua anawaambia chadema!!?au nani hasa!!?

Unakumbuka hayati jpm alilalama "mwinyi mlimpa awamumbili,mkapa na eivo Ivo,na kikwete hivohivo kwanininmimi mnataka mnipe awamu moja!!?ulidhani alikua anamwambia nani ikiwa ye ndio amiri jeshi mkuu!!?

"Desert mission original plan in and out" halafu "right there where you are"

Tuendelee kuwaza kwakweli !twende deep!!!

Nawaza tu!
 
Nipo nyuma ya Lisu na Heche
 
1. Agenda kuu nyuma ya hayo maneno no reform, no election ni ipi?
2. Kwa hicho kichwa cha habari tu kuwa katika lugha ya kukopa unaona watatoboa kufikia azma yao ya kuifikia Tanzania nzima au kuna kundi maalum wamelilenga hasa elites ambao ni wachache zaidi nchini kuliko kundi kubwa ambalo halina uelewa na hiyo lugha?
3. Miaka yote walikuwa wapi katika kudai hicho walichoamua kukiundia kampeni au hizo changamoto ndiyo wamezibaini mwaka huu?
4. Kwa kipindi hiki cha miezi nane iliyobaki kabla ya watu kujongea katika masanduku ya kupigia kura unaamini hayo madai yao yanaenda kufanikiwa ukizingatia soon tu Bunge linapigwa nyundo?
 


Kwa hakika hii kampeni ni dhahiri na yenye mikakati mikubwa. Nami nimeamua kuwaunga mkono kwa nguvu zote. Nafurahi nimepata mwaliko wa kushiriki vikao vinne muhimu vya kimkakati.

Tuunganishe nguvu, ili lengo la kuwa na nchi yenye mifumo ya haki, lifanikiwe. Lazima tuondokane ni hii mifumo ya kishenzi inayoruhusu washenzi kufanya upuuzi na uharamia wao dhidi wananchi.
 
Nipo chadema chini ya lisu , anachokifanya mwamba yupo sahihi kabisa.
YAnini kupoteza pesa na muda wa kupiga kura ambazo hazitahesabiwa, wenzetu kura zao ni za kipee zinapigwa na polizina waalimu?

Yanini kwenda kumwaga damu kwenye uchaguzi ambao washindi hawatokani na kampeni?
 
YAnini kupoteza pesa na muda wa kupiga kura ambazo hazitahesabiwa, wenzetu kura zao ni za kipee zinapigwa na polizina waalimu?

Yanini kwenda kumwaga damu kwenye uchaguzi ambao washindi hawatokani na kampeni?
Ni ajabu sana ila sikifikiri kwa sasa kama watanzania ni wanjinga kiasi hiko.
 
Wanaonufaika na chama cha CCM wawatetee na tusionufaika na hicho chama tuunge mkono NO REFORMS NO ELECTION
 
Najaribu kumwelewesha bibi na babu yangu hapa kijijini Naipingo Nachingwea Lindi kihusu hiyo no reform no election hata hawanielewi
 
Kabisa mkuu, na mm naingia miguu yote miwili kutoa mchango, wa kimkati, juuu ya kupushi campaign hii, mpaka iwe ajenda ya kitaifa
 
Najaribu kumwelewesha bibi na babu yangu hapa kijijini Naipingo Nachingwea Lindi kihusu hiyo no reform no election hata hawanielewi
Endelea kutoa elimu mkuu, wataelewa, lakini kuna timu maalumu itakuja huko kutoa elimu
 
Wanaonufaika na chama cha CCM wawatetee na tusionufaika na hicho chama tuunge mkono NO REFORMS NO ELECTION
Sio tu kunufaika mkuu, ni kwa ajili ya uzalendo, hapa matumbo tunaweka pembeni, then taifa kwanza
 
YAnini kupoteza pesa na muda wa kupiga kura ambazo hazitahesabiwa, wenzetu kura zao ni za kipee zinapigwa na polizina waalimu?

Yanini kwenda kumwaga damu kwenye uchaguzi ambao washindi hawatokani na kampeni?
Kabisa mkuu, hakuna umuhimu wote wa kufanya uchaguzi ,wakati washindi wanafamilia kupitia polisi, na tiss
 
Mkuu kila jambo linawakati wake, huu ndio mda mwaka wa kudai time huru, wameanza na influncial people, kwanza, then wananchi ndio maana ya mikutano hiyo inaanza kesho special for common people, lakin pia hata mbuyu ulianza kama mchuchi, to sum up," a journey of one thousand mile commence with single step" come and join the chain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…