PreGE2025 Sasa nimeamini CHADEMA wapo serious sana na sera ya "No reforms No election". Watanzania tuwaunge mkono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Fikiria nje ya box, achana na majibu ya darasani.
 
Umejiandikisha kupiga kura?

Mwezi huu hatua muhimu sana ya uchaguzi wa mwaka huu ambayo ni Kuandikisha wapiga kura Nchi nzima, inakamilika.
 
Najaribu kumwelewesha bibi na babu yangu hapa kijijini Naipingo Nachingwea Lindi kihusu hiyo no reform no election hata hawanielewi
Na hii ndio silaha kubwa inayotumiwa na ccm kuwaburuza wananchi "ujinga"

Mimi nashauri kuwe na ukomo wa miaka ya utu uzima ya kupiga kura kama ilivyo miaka 18 kwa kijana
 
Uyu mzee wasira si anafikiri ccm enzi ya chama kimoja , ndo maana mda wote ni kusinzia ati anatafakari , hakuna sababu ya uchaguzi wa kwenda ndugu zetu umizwa ,tekwa uwawa , ccm hawataki wafute vyama vya upinzani period, ogopa sana nyakati ila ccm ujifanya watu wa mazalau.

Mchengerwa ndo amefikisha aya mambo apa tulipo, wenda isingekua uchafuzi wa uchaguzi S/ za mitaa wtz tungekua na imani kidogo , na chadema isingekua na hoja kama hii.

Sasa mchengelwa akatumia kifua kipana kweli kweli.

Ikumbukwe ndani ya serikari wengi wanaunga hoja hii, sema kwa kuwa machawa hawajui upana wa Taifa hili katika mambo nyeti ya Taifa ,wanakuja na maneno ya uchawa ,na mbaya wengine hata katiba ya ccm ,history ya ccm hawajui , yametoka chuo kupitia uchawa wakapenyezwa kwenye nafasi ambazo kimsingi hawana uwezo nazo.
Safari hii , nitakichangia ichi chama chadema kuanzia sh mia na kuendelea mbele kadri Mungu atakavyo niwezesha
 
Wahalili X wahariri✓
 
Kwl nyumbu ni nyumbu tu hawezi kuelimika. Sijui Oktoba mtaficha sura zenu wapi. Ni mazuzu mnajitekenya na kucheka wenyewe. Hakuna reform yoyote uchaguzi utafanyika na hakuna kima atanyanyua pua.
🫵🌈🤫
 
I have seen this too. Ule unabii unakuja
CHADEMA chini ya mh Tundu Lissu, wameamua na wamejipanga sana na "No reform No election"
Nimeona hatua wanazo zichukua ni peaceful means, well organized, and the best plans ever seen in Tanzania to uproot the ruling political party( ccm)
 
Amina ubarikiwe mkuu,
Ubarikiwe mkuu, tone tone mwisho bahari
 
Ki ukweli kabisa serikali iliyoko madarakani inatakiwa ipate shituko kidogo, haiwezekani watu kwenye vituo vya wapiga kura wanafika 20 halafu matokeo yanaonesha waliopiga kura ni 20,000. Hapa watanzania tusipojitambua tutaendelea kudanganywa
 
Na mbaya zaidi sisi CCM tumegundua uchaguzi huo hatuwezi kulazimisha halafu ukaitwa uchaguzi Mkuu.
 
Ki ukweli kabisa serikali iliyoko madarakani inatakiwa ipate shituko kidogo, haiwezekani watu kwenye vituo vya wapiga kura wanafika 20 halafu matokeo yanaonesha waliopiga kura ni 20,000. Hapa watanzania tusipojitambua tutaendelea kudanganywa
No reforms No election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…