PreGE2025 Sasa nimeamini CHADEMA wapo serious sana na sera ya "No reforms No election". Watanzania tuwaunge mkono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
inasadikika chadema wanataka kuleta vimelea vya homa ya nyani kama silaha kwa taifa
 
Ki ukweli kabisa serikali iliyoko madarakani inatakiwa ipate shituko kidogo, haiwezekani watu kwenye vituo vya wapiga kura wanafika 20 halafu matokeo yanaonesha waliopiga kura ni 20,000. Hapa watanzania tusipojitambua tutaendelea kudanganywa
😅😅😅😅
 
 
Uchaguzi ambao sio tu unaibiwa kura bali na Mawakala wanatekwa, wengine kupigwa risasi na wengine kuumizwa

Mimi nadhani hawa sio ccm. Tanzania imevamiwa na watu jirani.
 
Bora umejua, natamani kaka p angeelewa akaunga mkono ana ushawishi mkubwa.
 
Uchaguzi ambao sio tu unaibiwa kura bali na Mawakala wanatekwa, wengine kupigwa risasi na wengine kuumizwa

Mimi nadhani hawa sio ccm. Tanzania imevamiwa na watu jirani.
May be wenda ni waasi kutoka Msumbiji, nasikia waasi toka Msumbiji wanatutesa sana, huko mtwara badala yanyoshane wao kwa wao huko kwao yanakuja kwa watz wenzetu yakiishiwa matumizi na kufanya ya hovyo ,uzuri Jeshi letu lipo na linawapelekea moto ,

So kwa hoja yako CDF aliwahi tamka jambo fulani kwamba wapo viongozi wengine sio wa taifa hili , na mpaka anasema alijiridhisha .

Tz imezungukwa na mataifa kadhaa katika ukanda huu wa A.mashariki , hoja yako inawezekana na ipo na nguvu za hoja.
 
Wakaona wakachukue uzoefu au sio?
Hii ngoma sio ya chadema ,ni taifa , kwenye familia unaweza kuta mtegemezi ni mmoja na ndo anapenda siasa , kwamba Mungu kamtuma huko, alafu inafika uchaguzi anapata matatizo ,maana nyingine iyo familia imedondoka , hawataki reforms wakajitangaze tuone mwisho itakuaje
 
Kila mmoja ambae ni mzalendo aunge mkono No reforms No election
 
I support this motion
 
Hakuna Mdau Hata Mmoja tutamwacha njiani.

Chadema kinaenda kuwa chama cha Afrika.
Juzi walikuwa kwa Edwado De Santos wakiwa na Rais wa Botswana.

Bado Rais Hichilema Hikainde wa Zambia.
Kabisa mkuu, Lisu na kamati yake wapo serious kuchukua nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…