Chadema ni nuru ya Taifa!CHADEMA chini ya mh Tundu Lissu, wameamua na wamejipanga sana na "No reform No election"
Nimeona hatua wanazo zichukua ni peaceful means, well organized, and the best plans ever seen in Tanzania to uproot the ruling political party( ccm)
Wameanza na tone kampeni,
Wamewaita wahalili wa vyombo vya habari.
Wameenda kumwona warioba na mtei mwasisi wa CHAMA
Wameenda kutoa msimamo wao kwa msajiri wa vya vyama vya siasa.
Wameenda zanzibar
Wameenda ubalozi wa Marekani
Sugu amenda USA Kutafuta ufadhili
Wameenda kukutana na gwiji wa siasa za kenya Laila ondinga leo ,
Leo viongozi wa mkoa wa mara wameenda kwa kanisa la katoriki, kuelekea "No reforms No election"
Binafsi naona mbele kuna nuru kubwa sana ya Mabadiliko ya uchaguzi mwaka huu, na BAdo wanamipango Mingi sana, jamani tuwaunge mkono chadema hasa" tone! tone! Campaign" I'li wapate nguvu ya kutoa elimu zaidi juu ya No reform No election.
Mungu ibariki chadema
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
N yule aliyepanga kumuua Lissu amebaki mifupa tu.Uwepo wa Mungu ni lisu kupigwa risasi 16, hajafa lakini cha ajabu na kushangaza ni kubiki na kutembea na risasi moja mwili hii ni justification kuwa Mungu yupo,lakini si tu kuwepo , Mungu anampango na Lisu
Lakini huko ccm mnatumia kila njia kuisambaratisha na mmeshindwa. Mara hii labda mtumie magaidi wa kipoliccm na wale mbwa wenu ili mpite bila kupingwa.Hiki ni kikundi cha wapigaji kama vikundi vingine. Chadema chini ya Lissu imepoteza mvuto kabisa.
And this Time Mkono wa Bwana unaenda kuonekana.Kweli mkuu ,Mungu huwa anawakati wake
Ni nani unamjua?N yule aliyepanga kumuua Lissu amebaki mifupa tu.
NakubaliChadema ni nuru ya Taifa!
Sasa hivi hakuna chama. Lissu hajawahi kufanikiwa kwa chochote kama kiongozi. Chadomo kimepoteza mvuto kimebaki chama cha club house.Lakini huko ccm mnatumia kila njia kuisambaratisha na mmeshindwa. Mara hii labda mtumie magaidi wa kipoliccm na wale mbwa wenu ili mpite bila kupingwa.
Kama kiongozi aliongoza ni nini?Sasa hivi hakuna chama. Lissu hajawahi kufanikiwa kwa chochote kama kiongozi. Chadomo kimepoteza mvuto kimebaki chama cha club house.
Jiwe.Ni nani unamjua?
😅😅😅Jiwe.
😅😅😅Ndio nani huyoShule ya Dj ilikuwa chini
Teh teh tehee!! Humu kuna wapinzani wakubwa wa uwepo wa mungu,ni ajabu sana,,kuanzia matatizo aliyopata lissu,matusi dhidi yake,vitisho nk,hakika mungu yuko yuko nae,anamuongoza na ndie anaendelea kumlinda,tumwombe mungu aendelee kumuongoza.amina.Mungu hayupo ni lisu alikua anajiandaa
ThibitishaTeh teh tehee!! Humu kuna wapinzani wakubwa wa uwepo wa mungu,ni ajabu sana,,kuanzia matatizo aliyopata lissu,matusi dhidi yake,vitisho nk,hakika mungu yuko yuko nae,anamuongoza na ndie anaendelea kumlinda,tumwombe mungu aendelee kumuongoza.amina.
CHADEMA chini ya mh Tundu Lissu, wameamua na wamejipanga sana na "No reform No election"
Nimeona hatua wanazo zichukua ni peaceful means, well organized, and the best plans ever seen in Tanzania to uproot the ruling political party( ccm)
Wameanza na tone kampeni,
Wamewaita wahalili wa vyombo vya habari.
Wameenda kumwona warioba na mtei mwasisi wa CHAMA
Wameenda kutoa msimamo wao kwa msajiri wa vya vyama vya siasa.
Wameenda zanzibar
Wameenda ubalozi wa Marekani
Sugu amenda USA Kutafuta ufadhili
Wameenda kukutana na gwiji wa siasa za kenya Laila ondinga leo ,
Leo viongozi wa mkoa wa mara wameenda kwa kanisa la katoriki, kuelekea "No reforms No election"
Binafsi naona mbele kuna nuru kubwa sana ya Mabadiliko ya uchaguzi mwaka huu, na BAdo wanamipango Mingi sana, jamani tuwaunge mkono chadema hasa" tone! tone! Campaign" I'li wapate nguvu ya kutoa elimu zaidi juu ya No reform No election.
Mungu ibariki chadema
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Lissu hajawai kushindwa Walitofautia na Magu leo Magu hatuko nae Walisema wamempiga Ban Angola wengine Wamerudi tumemuona Yuko Angola walisema hawezi Mshinda Mbowe kiko wapi uchaguzi kamshinda Lissu ni wa kuangalia alafu kwa jicho lisilo kua na chuki ni Mtu mwingine YuleHiki ni kikundi cha wapigaji kama vikundi vingine. Chadema chini ya Lissu imepoteza mvuto kabisa.