Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Ile haikuwa press wewe. Ule ulikuwa mkutano wa ndani wa wabunge na mdiwani wa viti maalum wa ccm. Sasa unaachaje kuamini na kuita kikao cha chama ???Hata huyo chatanda keshachemka na inaonekana anatumika na wapinzani wa makinda..alishindwa kulalamika kwenye vikao vya ndani vya chama badala ya kuita press?
Mhu! Utani gani unaweza ukamwambia mtumishi wa umma, mwenye familia maneno ya kudhalilishwa hivyo?Mary Chatanda ni kakosea sana, tena kafanya makosa makubwa. Makonda alichoongea kilikuwa utani wa kawaida wa watanzania. Hata Dkt Magufuli alishawahi sema anapenda wanawake weupe akimtania Dkt Samia.
Watanzania ndivyo tulivyo hasa wasukuma. Acheni ujinga wa kumvimbisha kichwa huyo mu mama aliyetaniwaMhu! Utani gani unaweza ukamwambia mtumishi wa umma, mwenye familia maneno ya kudhalilishwa hivyo?
Of course, kama uko upande wa unyanyasaji na udhalilishaji huwezi kuona shida. Kuona vizuri mpaka uwe na akili timamu.Watanzania ndivyo tulivyo hasa wasukuma. Acheni ujinga wa kumvimbisha kichwa huyo mu mama aliyetaniwa
Vijana wanasema ni laana ya kumpiga mzee warioba.Salaam, Shalom!!
Ni muda sasa tangu RC wa Arusha aingie kwa mbwembwe kama kawaida yake katika maeneo mengi aliyokwenda baada ya kuteuliwa kuongoza,
Umati mkubwa wa watu waliokusanyika kumpokea na kuhudhuria utatuzi wa case za wananchi hadharani ambao haujawahi kufikia mwisho, Bado haukumstua Mh Lema.
Wakati Mh Lema akiwa kimya, Mh Gambo naye Yuko kimya, nadhani akiamini ujio wa RC utamrahisiahia njia mbele yake.
Sasa nimeamini Mh Lema, ukimya wake Si wa Bahati mbaya, ni calculated move, kumjibu au kumuongelea RC ni kumpa coverage, Mh Lema ameamua kunyamaza.
Matokeo ya ukimya wa Lema, RC ameanza kuharibu na anasemwa na kushtakiwa na viongozi wenzie ndani ya chama, Ndugu Mary Chatanda, ametoka hadharani kumtuhumu RC Kwa udhalilishaji wa Mtumishi wa Serikali katika hadhara iliyokwenda Kwa Jina la wiki ya HAKI.
Kumbe ukimya una nguvu sana.
Kongole kwako Mh Lema.
Salamu zimfikie Mh Gambo kuwa, kibarua Bado kigumu Arusha, na KAZI ndio kwanza imeanza.
Mungu ubariki Mkoa wa Arusha,
Abarikiwe Nabii Lema.
Ubarikiwe Tanganyika,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿. Amen
Karibuni🙏
Mikono yake pia ni michafu.Vijana wanasema ni laana ya kumpiga mzee warioba.
Hakuna utani wa vile,Mary Chatanda ni kakosea sana, tena kafanya makosa makubwa. Makonda alichoongea kilikuwa utani wa kawaida wa watanzania. Hata Dkt Magufuli alishawahi sema anapenda wanawake weupe akimtania Dkt Samia.
Kimsingi Makonda anamuiga Magufuli, lakini kiukweli hata Magufuli alikuwa hajui utani kwa sababu ni mtu wa jazba na kiburi Cha madaraka. Kilichokuwa kinambeba Magufuli ni kwamba alikuwa rais mwenye kiburi Cha madaraka, hivyo hakuna aliyethubutu kumwambia ukweli maana angeishia kutekwa ama kukuta ya Lisu.Mary Chatanda ni kakosea sana, tena kafanya makosa makubwa. Makonda alichoongea kilikuwa utani wa kawaida wa watanzania. Hata Dkt Magufuli alishawahi sema anapenda wanawake weupe akimtania Dkt Samia.
🤣 🤣 🤣Huyo mary chatanda ameolewa, mbona anaonekana ana upwiru sana?
Sisi wana Arusha tunaelewa sana umuhimu wa mh Lema.Salaam, Shalom!!
Ni muda sasa tangu RC wa Arusha aingie kwa mbwembwe kama kawaida yake katika maeneo mengi aliyokwenda baada ya kuteuliwa kuongoza,
Umati mkubwa wa watu waliokusanyika kumpokea na kuhudhuria utatuzi wa case za wananchi hadharani ambao haujawahi kufikia mwisho, Bado haukumstua Mh Lema.
Wakati Mh Lema akiwa kimya, Mh Gambo naye Yuko kimya, nadhani akiamini ujio wa RC utamrahisiahia njia mbele yake.
Sasa nimeamini Mh Lema, ukimya wake Si wa Bahati mbaya, ni calculated move, kumjibu au kumuongelea RC ni kumpa coverage, Mh Lema ameamua kunyamaza.
Matokeo ya ukimya wa Lema, RC ameanza kuharibu na anasemwa na kushtakiwa na viongozi wenzie ndani ya chama, Ndugu Mary Chatanda, ametoka hadharani kumtuhumu RC Kwa udhalilishaji wa Mtumishi wa Serikali katika hadhara iliyokwenda Kwa Jina la wiki ya HAKI.
Kumbe ukimya una nguvu sana.
Kongole kwako Mh Lema.
Salamu zimfikie Mh Gambo kuwa, kibarua Bado kigumu Arusha, na KAZI ndio kwanza imeanza.
Mungu ubariki Mkoa wa Arusha,
Abarikiwe Nabii Lema.
Ubarikiwe Tanganyika,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241]. Amen
Karibuni[emoji120]
Ajiandae kurudi Koromije kuvua samaki maana habebeki hata kwa turubaiKwani Makonda alishawahi kujishughulisha kumtaja hata Lema kwa jina?
Makonda tukubali tukatae, ni jitu. Ni mkubwa sana kwa Lema.
Kumbe mlikuwa mnahara, ila baada ya Chatanda kuongea mmepata ahueni.
Makonda haondoki Arusha.
Pamoja na kuwa ndani ya ccm hakuna aliye msafi kutokana na mfumo mzima wa uendeshaji ndani ya chama.Makonda sio mtendaji, Hana kipya anacholeta kwenye understand uongozi, sio mifumo, taratibu, wala nini?! Ni, maneno, ya, mikwara, kutisha watu, just busy body! Ni sawa sawa, na kubeba jiwe uweke kichwani, ubaki umesimama! Utachoka, lakini work done ni zero! Maana no movemwnt
Sasa Makonda ndiyo anagukuzwa kwa aibu kutokana na mdomo wake usiyo na staha.Mpa mseme na mtasema sana. Eti ukimya siyo wa bahati mbaya. Ngoja ncheke mie
Wacha afukuzwe tu maana hana hadhi ya kukalia kwenye ofisi za serikali na kulipwa mshahara.Aondoke mara ngapi?
Dunia ya sasa, umdhalilishe mwanamke hadharani utatokea wapi?
Kama una namba yake, mwambie atoke hadharani kuomba radhi ingawa sidhani kama atakusikia.
Lema ni zaidi ya nabiiLema ni kama beki kisiki wa Ureno, Ricardo Cavallho, utapiga chenga weee Yeye anakuangalia tu akikusubiri akupore mpira[emoji3]
Sidhani kama umesoma uzi wote wa unaye mhukumuNitaomba JF tuwe na madaraja
Wenye super mind
Simple na lowest
Hatuwezi kuwa jukwaa Moja na mtu kama wewe unawaza vyeo sisi tunawaza nchi
Katiba mpya ni sasa