Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo michapo siyo tatizo kuliko matatizo tuliyonayo!!!Nawe unakubali mke wa RC ni mzuri kuliko mkeo?
Vipi mtumishi yule angemjibu RC kuwa " NA MIMI NINA MUME MZURI KULIKO WEWE"?
Atoke sasa kuomba radhi yaishe.Hiyo michapo siyo tatizo kuliko matatizo tuliyonayo!!!
Kwanini media na system itekwe na michapo ya jukwaani ya huyo jamaa!!?kama jamaa kateleza SI wamalizane wenyewe huko ndani kazi iendelee!!?
Mimi kinachoniudhi ninkwamba tukio hili linafanywa kuwa kubwa kuliko hata mfumuko wa Bei!!
Kauli tata hazijaanza leo na nyingi hazijala vichwa vya wahusika kama "kula Kwa urefu wa kamba,barakoa inafanana na titi,vijisenti n.k!
Nataka hili jambo lisiwe kubwa kuliko changamoto zinazoshughulikiwa Arusha huko!!
Ni viile wameguswa wanawake,ingekua kama Ally hapi na ishu ya wazee kipindi like mbona mambo yalisonga tu!!!
Najua Jamaa ana fractures mahali lakini mzigo unavoenda pale Arusha ni wa maana kuliko hisia zake na mhusika!!!
Najua wahuni watatumia huo mwanya Ili kumpoteza lakini aliemteua aangalie faida yake ni kubwa kuliko kilichojiri!!
Alivyo sasa na hiyo ego!!!hatari!!!hivi jpm akikosea ataomba radhi kweli!!?ataomba radhi kwenye mikutano Yao ya siri sio hadharani!!Atoke sasa kuomba radhi yaishe.
Nioneshe mtu mmoja asiye mwizi katika nchi hii nani nitakuonesha kahaba ambaye ni bikra.Makonda kimbiza wezi haooo
Dawa ya mwizi ni mwiziNioneshe mtu mmoja asiye mwizi katika nchi hii nani nitakuonesha kahaba ambaye ni bikra.
Huyu kijana Si sawa kumlinganisha na JPM!!Alivyo sasa na hiyo ego!!!hatari!!!hivi jpm akikosea ataomba radhi kweli!!?ataomba radhi kwenye mikutano Yao ya siri sio hadharani!!
Hata jpm hakukamilika!hujawahi kusikia aligawa majumba Kwa mahawara!!?Huyu kijana Si sawa kumlinganisha na JPM!!
Uzalendo wake ni WA maigizo, Uadilifu wa wasiwasi, Si muumini wa kulipa Kodi kihalali, Kwa ufupi ni conman!!
Makonda sianawakanda masisiemu wenzie kwani Lema yeye anaongoza serikali? Acha wafu wazikane wananchi wenye akili wanaelewa mwisho wa sinema utakuajeKwani Makonda alishawahi kujishughulisha kumtaja hata Lema kwa jina?
Makonda tukubali tukatae, ni jitu. Ni mkubwa sana kwa Lema.
Kumbe mlikuwa mnahara, ila baada ya Chatanda kuongea mmepata ahueni.
Makonda haondoki Arusha.
Pumba ya karneSalaam, Shalom!!
Ni muda sasa tangu RC wa Arusha aingie kwa mbwembwe kama kawaida yake katika maeneo mengi aliyokwenda baada ya kuteuliwa kuongoza,
Umati mkubwa wa watu waliokusanyika kumpokea na kuhudhuria utatuzi wa case za wananchi hadharani ambao haujawahi kufikia mwisho, Bado haukumstua Mh Lema.
Wakati Mh Lema akiwa kimya, Mh Gambo naye Yuko kimya, nadhani akiamini ujio wa RC utamrahisiahia njia mbele yake.
Sasa nimeamini Mh Lema, ukimya wake Si wa Bahati mbaya, ni calculated move, kumjibu au kumuongelea RC ni kumpa coverage, Mh Lema ameamua kunyamaza.
Matokeo ya ukimya wa Lema, RC ameanza kuharibu na anasemwa na kushtakiwa na viongozi wenzie ndani ya chama, Ndugu Mary Chatanda, ametoka hadharani kumtuhumu RC Kwa udhalilishaji wa Mtumishi wa Serikali katika hadhara iliyokwenda Kwa Jina la wiki ya HAKI.
Kumbe ukimya una nguvu sana.
Kongole kwako Mh Lema.
Salamu zimfikie Mh Gambo kuwa, kibarua Bado kigumu Arusha, na KAZI ndio kwanza imeanza.
Mungu ubariki Mkoa wa Arusha,
Abarikiwe Nabii Lema.
Ubarikiwe Tanganyika,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿. Amen
Karibuni🙏
Mnateseka mkiwa wapiMakonda sio mtendaji, Hana kipya anacholeta kwenye understand uongozi, sio mifumo, taratibu, wala nini?! Ni, maneno, ya, mikwara, kutisha watu, just busy body! Ni sawa sawa, na kubeba jiwe uweke kichwani, ubaki umesimama! Utachoka, lakini work done ni zero! Maana no movemwnt