Sasa nimeelewa kwanini Lema haijishughulishi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha

Sasa nimeelewa kwanini Lema haijishughulishi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha

Hata huyo chatanda keshachemka na inaonekana anatumika na wapinzani wa makinda..alishindwa kulalamika kwenye vikao vya ndani vya chama badala ya kuita press?
Tangu lini criminal akapewa staha?
 
Sasa udhalilishaji ufanyike hadharani, Badala ya kukemea hadharani, unashauri akasemee sirini ndani ya vikao vya chama [emoji848]
Hiyo ndiyo kawaida ya maccm kwenye hali ya kutaka kulindana.
 
Mary Chatanda ni kakosea sana, tena kafanya makosa makubwa. Makonda alichoongea kilikuwa utani wa kawaida wa watanzania. Hata Dkt Magufuli alishawahi sema anapenda wanawake weupe akimtania Dkt Samia.
Wewe na Makonda hamna tofauti maana tunakujua kuwa ulikuwa ni house girl wake.

Yaani wewe na Makonda ni pipa na funiko
 
Huyo Mary kama kiongoz wa makonda alitakiwa amuite chemba amuonye s kuleta kikiii za kijinga
 
Makonda sio mtendaji, Hana kipya anacholeta kwenye understand uongozi, sio mifumo, taratibu, wala nini?! Ni, maneno, ya, mikwara, kutisha watu, just busy body! Ni sawa sawa, na kubeba jiwe uweke kichwani, ubaki umesimama! Utachoka, lakini work done ni zero! Maana no movemwnt
Kwa hiyi huoni kuwa mifumo ndiyo imekufa na sheria zimetungwa kwa ajili ya kuwalinda wahalifu wakubwa na kuwaumiza wanyonge?

Mageuzi yataletwa na wanyonge kama haki zao zitapuuzwa mana hawana Cha kupoteza .

Makonda anakosea sehemu ndogo sana. Kama asilimia 5 tu .
Kama ni marks Amepata 95%.
Arusha ni Jiji la awahalifu wengi wenye pesa na kujifanya ni kondoo mchana lakini usiku ni mbwa mwitu wakali.

Tumewasikia wananchi wengi wakikiri wenyewe kuwa Makonda amewasaidia sana kupata haki zao au hata kujua nini Cha kufanya.
 
Kwani Makonda alishawahi kujishughulisha kumtaja hata Lema kwa jina?

Makonda tukubali tukatae, ni jitu. Ni mkubwa sana kwa Lema.

Kumbe mlikuwa mnahara, ila baada ya Chatanda kuongea mmepata ahueni.

Makonda haondoki Arusha.
Ni mkubwa dhidi ya nani? We na Familia yako au dhidi ya nani?
 
Watanzania ndivyo tulivyo hasa wasukuma. Acheni ujinga wa kumvimbisha kichwa huyo mu mama aliyetaniwa
Ukimtania mtu ni mpaka akubaliane na huo utani wako asipokubali imekula kwako.
 
Luka 13:32 - Akawaambia , "Nendeni mkamwambie yule mbweha , Tazama leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa , siku ya tatu nakamilisha ."

Yesu anamfananisha kiongozi mbinafsi, mdanganyifu na mwenye tabia ya uharibifu wa mali za umma na mbweha . Ingekuwa ni nyakati zetu, watu ambao hawana akili wangenong'ona na kusema Yesu amemdhalilisha kiongozi wa aina hii .
 
Wakimla kichwa makonda kisa vijimaneno kama vile,trust me nitaidharau Sana sekretarieti ya samiah !!!

"Kasema ana mke mzuri nyumbani" hapo kamdhalilisha nani!!?kwani mke wa makonda SI mwanamke kama huyo mama!!!?

Mi naona samiah akae kimya TU apotezee ampigie simu amwambie "chapa kazi lakini kuwa makinj watesi wako ni wengi sana"

Makonda ana mapungufu yake lakini kiutendaji namkubali !nataka mind strong sio legelege kama baadhi ya watumishi was umma!!
Nawe unakubali mke wa RC ni mzuri kuliko mkeo?

Vipi mtumishi yule angemjibu RC kuwa " NA MIMI NINA MUME MZURI KULIKO WEWE"?
 
Pamoja na kuwa ndani ya ccm hakuna aliye msafi kutokana na mfumo mzima wa uendeshaji ndani ya chama.

Lkn Makonda ni mbovu kuliko wana ccm wote na hakuna mtanzania yeyote mwenye akili anamkubali Makonda.
Kusema RC ni mbovu kuliko Wana CCCM wote unatumia kipimo kipi au ni maoni Yako binafsi?


Ni mbovu kuliko wale waliotajwa kwenye Ripoti ya CAG au wale waliouza bandari?
 
Back
Top Bottom