Sasa nimeelewa kwanini Lema haijishughulishi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha

Nawe unakubali mke wa RC ni mzuri kuliko mkeo?

Vipi mtumishi yule angemjibu RC kuwa " NA MIMI NINA MUME MZURI KULIKO WEWE"?
Hiyo michapo siyo tatizo kuliko matatizo tuliyonayo!!!

Kwanini media na system itekwe na michapo ya jukwaani ya huyo jamaa!!?kama jamaa kateleza SI wamalizane wenyewe huko ndani kazi iendelee!!?

Mimi kinachoniudhi ninkwamba tukio hili linafanywa kuwa kubwa kuliko hata mfumuko wa Bei!!

Kauli tata hazijaanza leo na nyingi hazijala vichwa vya wahusika kama "kula Kwa urefu wa kamba,barakoa inafanana na titi,vijisenti n.k!

Nataka hili jambo lisiwe kubwa kuliko changamoto zinazoshughulikiwa Arusha huko!!

Ni viile wameguswa wanawake,ingekua kama Ally hapi na ishu ya wazee kipindi like mbona mambo yalisonga tu!!!

Najua Jamaa ana fractures mahali lakini mzigo unavoenda pale Arusha ni wa maana kuliko hisia zake na mhusika!!!

Najua wahuni watatumia huo mwanya Ili kumpoteza lakini aliemteua aangalie faida yake ni kubwa kuliko kilichojiri!!
 
Atoke sasa kuomba radhi yaishe.
 
Alivyo sasa na hiyo ego!!!hatari!!!hivi jpm akikosea ataomba radhi kweli!!?ataomba radhi kwenye mikutano Yao ya siri sio hadharani!!
Huyu kijana Si sawa kumlinganisha na JPM!!

Uzalendo wake ni WA maigizo, Uadilifu wa wasiwasi, Si muumini wa kulipa Kodi kihalali, Kwa ufupi ni conman!!
 
Huyu kijana Si sawa kumlinganisha na JPM!!

Uzalendo wake ni WA maigizo, Uadilifu wa wasiwasi, Si muumini wa kulipa Kodi kihalali, Kwa ufupi ni conman!!
Hata jpm hakukamilika!hujawahi kusikia aligawa majumba Kwa mahawara!!?

Kukwepa kodi hapa nchini ni njia Kwa wasiowatakatifu kutajirika kirahisi!unafikiri ukilipa Kodi bila kukwepa hapa nchini utatajirika!!?

Jiulize kwanini watumishi was imma Huwa hawatajiriki kirahisi zaidi ya kuwa na maisha ya kawaida!!?Ni Kodi zao kubwa kwenye mishahara!!,Ile Kodi ni kubwa Sana inatosha hasta kula na familia karibu mwezi mzima!!

Wanasiasa na kukwepa Kodi ni maji na samaki!

Mwanasiasa was kweli ni yule ataweka Kodi kwenye mishahara,posho na mafao ya wabunge na mawaziri lakini kama hayupo was kufanya hivyo wote ni wezi TU na waigizaji TU!
 
Kwani Makonda alishawahi kujishughulisha kumtaja hata Lema kwa jina?

Makonda tukubali tukatae, ni jitu. Ni mkubwa sana kwa Lema.

Kumbe mlikuwa mnahara, ila baada ya Chatanda kuongea mmepata ahueni.

Makonda haondoki Arusha.
Makonda sianawakanda masisiemu wenzie kwani Lema yeye anaongoza serikali? Acha wafu wazikane wananchi wenye akili wanaelewa mwisho wa sinema utakuaje
 
Pumba ya karne

Mkanada ni mregemezi wa jamaa
 
Mnateseka mkiwa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…